Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Hii sasa ndio tamaa

Unataka kuishi usife wengine waishi wapi?
Lazima tufe ili another generation wazaliwe

Hiyo young forever ni ubatili lazima ufe ili wengine wazaliwe
 
FOREVER YOUNG 🥹

Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Mimi natamani forever niwe young

Lakini je ni kwamba tunaogopa kuzeeka au tunaogopa kua wa dhaifu kutokana na uzee ?

Kipindi cha nyuma nilikuwa najiona mtoto au kijana, lakini sasa naanza kutambua kwamba siku za mbele, uhai ukiwepo, nitakuwa mzee

Na fikiria kama nikiwa mzee nitakua na nguvu kweli au itabidi nisaidiwe baadhi ya mambo ambayo kwa sasa nayamudu mwenyewe bila kuitaji msaada

Zamani nikiona mtu ana miaka 30 nilihisi ni mtu aliyezaliwa zamani sana
Leo hii nimebakiza ngazi chache kuingia floor ya 3, yaani miaka 30!
Nafikiria muda umekimbia hivi lini?

Hivi tunatamani kua young forever
Au tunauhofia uzee na kashkash zake😢

Maana uzee unakuja na mengi
Sote tunaona kijana na mzee wanatofautiana vingi sana

Ukiwa mzee na kama hukua mtu wa kuzingatia mazoezi na chakula cha afya enzi za ujana wako uzee unakua ni mateso

Haya hapa ni miongoni mwa magonjwa yanayoweza kuwapata wazee

Na haina maana vijana hayawapati magonjwa haya

Na pia sio kila mzee hupata haya magonjwa
👇

Presha, kisukari, magonjwa ya moyo, Tezi dume kwa wanaume
maumivu ya viungoo, udhaifu wa mifupa matatizo ya kuona na kusikia pamoja na matatizo ya kumbukumbu

Kwenye mjadala👇

1. Kama ungepewa nafasi ya kubaki na umri mmoja milele, ungechagua miaka mingapi, na kwa nini?

2. Unajisikiaje unapojiangalia kwenye kioo na kuona mabadiliko ya umri?
Mvi zikianza kuota, utazikubali (Unazikubali )au utapambana nazo kwa Super Black na kunyoa upara?

3. Unafanya nini ili kudumisha muonekano na afya yako?
Gym, skincare, kula vizuri ?

4. Unaogopa kuzeeka kwa sababu ya kupoteza ujana na nguvu, au unaona ni sehemu ya kawaida ya maisha?

5. Kama ungekuwa na option ya kubaki kijana milele ungechagua kutokuzeeka?

Karibuni Great Thinkers🤗

ShesRise_1 ✋️
Omba uzee mwema lakini sio kutokuzeeka , that you cant stop
 
Staki uzee wa magonjwa nilishakataa kabisa, na wanangu nilishawambia ikitokea nimepata ugonjwa au tatizo ambalo litahitaji uangalizi au usumbufu kwao basi waangalie namna ya kuniua! kama ni sindano wanichome
Maneno haya sio ya kuwaambia watoto unakosea sana dada.

I don't look my age too, na ndo kitu nafurahia katika haya maisha
 
Hujaeleza akili ni nini, kuwa na akili ni nini, akili inageukaje kuwa ego, na hoja hii inahusikaje haoa, na ni vipi ulichoandika hapa wewe si kuwa na ego.
It's simple..

Having a mind and clinging to it gives an illusion of control

But we are just like biological mashines with little or less than zero control of our destiny.

It reaches the age where it clicks kuwa we had only the chanze to live but not try to find means to stay here forever.. (and that's ego)

Na huo ndo mzigo wa kuwa na akili, inakupa an illusion of control, kumbe the percent is nearly zero
 
Hapana,

Suala si kukubaliana na hali tu, useme labda hatuna jinsi.

Hata kama kungekuwa na kidonge ukimeza unakuwa kijana milele hata hufi, bado kumeza hicho kidonge ingekuwa ni jambo la mtu kuwa selfish.
Exactly maana ecosystem ya nature ni perfect
 
It's simple..

Having a mind and clinging to it gives an illusion of control

But we are just like biological mashines with little or less than zero control of our destiny.

It reaches the age where it clicks kuwa we had only the chanze to live but not try to find means to stay here forever.. (and that's ego)

Na huo ndo mzigo wa kuwa na akili, inakupa an illusion of control, kumbe the percent is nearly zero
Kwenye Buddhism nilijifunza kuwa sehemu ya kuwa na akili ni kuacha kung'ang'ania mambo, vitu, hali, ujana, hata maisha.

Kukubali kwamba vitu vina mwanzo na mwisho.

Kutokuwa na an unhealthy attachment.
 
Kwenye Buddhism nilijifunza kuwa sehenu ya kuwa na akili ni kuacha kung'ang'ania mambo, vitu, hali, ujana, hata maisha.

Kukubali kwamba vitu vina mwanzo na mwisho.

Kutokuwa na an unhealthy attachment.
Hakika,

Buddhism iko vyema sana katika kuelezea haya, na yanahitaji practice na discipline ya hali ya juu kuweza kuu condition mwili
 
Ninavyopenda uzee, vijana wangu nikiwaambia waniite mama wananigomea wananiita sister namind kinoma..!! 😹

Mi uzee naupenda na sasa hivi natamani kudate mzee ila sio age ya baba yangu..!

Wale wazee wa 45yrs ndo target yangu..!!
Sema tu unasaka sponsor winga
 
Potential ipi unamaanisha?
Uwezo wa kuzagamuana,uwezo
wa kuzaa, nguvu, maana wanawake wanapoteza nguvu uzeeni kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume,uwezo wa kufikiri, yaani mwanamke akizeeka analeta tabu kuliko kiumbe yoyote, zile hapa na hapa syndrome yaani ni kero tu.

Kama hujaelewa hapa suit urself😁
 
Unachekesha ....
 
FOREVER YOUNG 🥹
Mkuu heshima Yako. Kwa mara nyingine tena umekuja na maada mujarabu.

Binafsi sipendi kuzeeka, ila Mungu ni mtaalam sana hakupi unachotaka😂😂😂,

Bad thing nilianza kuzeeka at my 20. Good thing ni kwamba am still looking as if am in my 20's.

Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?
Ndio, natamani nibaki kijana na wazazi wangu wabaki vijana na wote ninaowapenda wabaki vijana.

Mimi natamani forever niwe young

Lakini je ni kwamba tunaogopa kuzeeka au tunaogopa kua wa dhaifu kutokana na uzee ?

Moja ya kitu nimeshakikubali ni kwamba nitazeeka ila sitamani kuzeeka nikiwa dhaifu, kwa mapenzi ya Mungu natamani nifikishe miaka hata mia moja.

Kipindi cha nyuma nilikuwa najiona mtoto au kijana, lakini sasa naanza kutambua kwamba siku za mbele, uhai ukiwepo, nitakuwa mzee

Na fikiria kama nikiwa mzee nitakua na nguvu kweli au itabidi nisaidiwe baadhi ya mambo ambayo kwa sasa nayamudu mwenyewe bila kuitaji msaada

Zamani nikiona mtu ana miaka 30 nilihisi ni mtu aliyezaliwa zamani sana
Leo hii nimebakiza ngazi chache kuingia floor ya 3, yaani miaka 30!
Nafikiria muda umekimbia hivi lini?

Hivi tunatamani kua young forever
Au tunauhofia uzee na kashkash zake😢

Maana uzee unakuja na mengi
Sote tunaona kijana na mzee wanatofautiana vingi sana

Ukiwa mzee na kama hukua mtu wa kuzingatia mazoezi na chakula cha afya enzi za ujana wako uzee unakua ni mateso

Haya hapa ni miongoni mwa magonjwa yanayoweza kuwapata wazee

Na haina maana vijana hayawapati magonjwa haya

Na pia sio kila mzee hupata haya magonjwa
👇

Presha, kisukari, magonjwa ya moyo, Tezi dume kwa wanaume
maumivu ya viungoo, udhaifu wa mifupa matatizo ya kuona na kusikia pamoja na matatizo ya kumbukumbu

Kwenye mjadala👇

1. Kama ungepewa nafasi ya kubaki na umri mmoja milele, ungechagua miaka mingapi, na kwa nini?

Miaka 30, katika umri huo nimejifunza mengi sana nimeweza kutazama maisha katika nyanja tofauti.

2. Unajisikiaje unapojiangalia kwenye kioo na kuona mabadiliko ya umri?
Mvi zikianza kuota, utazikubali (Unazikubali )au utapambana nazo kwa Super Black na kunyoa upara?

Kwakweli Huwa sijiangalii kwenye kioo, maana nipo kama Wassira😂😂😂. Kuna namna inabidi nifanye ili niwe nanyoa kiduku🤣🤣🤣

3. Unafanya nini ili kudumisha muonekano na afya yako?
Gym, skincare, kula vizuri ?

Nafanya Jogging au long walk alone, sipakai mafuta yoyote.

Nafunga kula siku 2 kwa wiki na msosi wangu mkubwa ni nyama, nakula kilo nzima pekeeangu😂😂😂🙌 na nakula mara Moja au mbili kwa siku.

4. Unaogopa kuzeeka kwa sababu ya kupoteza ujana na nguvu, au unaona ni sehemu ya kawaida ya maisha?

Siogopi kuzeeka ila napenda hizi moment za maisha ziendelee, Napenda sana kuwaona watu wangu wa karibu wakiwa vijana.

Siipendi tuu aging

5. Kama ungekuwa na option ya kubaki kijana milele ungechagua kutokuzeeka?

Ndio, ningechagua kubaki kijana milele.

Karibuni Great Thinkers🤗

ShesRise_1 ✋️

Always we're here. Thank you kwa maada nzuri kabisa.
 
Back
Top Bottom