Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Tafsiri yake ni moja tu, huwezi kuandaa uzee wakati bado unatumia hizi Songesha, Niwezeshe, Bustisha and likes.

Ikifika January ada za watoto ni hekaheka, kwakweli ngumu sana ni kudra za Mungu tu.
Unadhani kila mtu yupo kwenye hali hiyo?
 
Ndiyo maana tukipata nafasi ya kuongea na vijana, huwa tunawakumbusha kujiandaa na Uzee

Uzee unamfikia Kila mmoja kwa wakati wake.

Muhimu kujiandaa nao tu.

Ukizeeka bila hela, ndiyo mwanzo wa kuitwa yule Babu mchawi, ama yule Bibi mchawi 🙌
Nimecheka dah ukizeeka bila hela mchawi 😅😅🙌🏼
 
Nimewahi kutamani kuwa mkubwa, Nilikuwa nikiwaona mama zangu wadogo natamani kweli, nadhani walikuwa around 27, baadae nilivyofikisha miaka 27 nikiwaona wadada wa miaka 36 natamani kweli nawaona wazuri wanavaa urembo halafu wamejipata, next nadhani natamani wamama wa miaka 42-45 (naona wameshasettle wana direction nzuri ya maisha) baada ya hapo sina uhakika kama ntatamani umri mwingine 😂😭😭
Ila bi mzuri 😅😅 kuanzia 45 kwenda juu hutaki 💔
Watu walionizunguka wameni-inspire kukua, nilikuwaga najiuliza mtu unakuwa na hela yako kabisa umeitafuta mwenyewe, i was so excited.
Na umeitendea kazi 🔥🔥
Kufa ndio kitu sitaki hata kukisikia, niko kwenye denial kubwa na sijui cha kufanya 💔😂
Uliwahi kusema kuna siku
Basi nakuombea uwe mzeeee ajuzaaa siku ukiondoka usiwe na kumbukumbu

Maana sasa dah 💔
 
Kuna mzee wa miaka 77 alisema kuwa yeye haogopi kufa kabisa
Kwani kama ni kufa ameisha kufa zaidi ya x100
Ndugu wengi wamekufa, wazazi wote na Ndugu zao wengi wamekufa, majirani wamekufa, marafiki wameondoka wengi, kwa hiyo siogopi kufa tena

Mimi ni miaka michache nitakuwa umri huo wala sitamani kurudi hata mwaka mmoja

Nashukuru Mungu sijawahi kupata shida na mda wote nilikuwa nakimbiza maisha na pia kutembea nchi nyingi na ni kumbukumbu zinazonifanya nizidi kupiga trainers 👟 na jeans yaani young at heart
Tuombe Mungu tuwe na afya njema ila maisha hayatabiriki
Inavutia sana
 
Mkuu heshima Yako. Kwa mara nyingine tena umekuja na maada mujarabu.
Shukran
Binafsi sipendi kuzeeka, ila Mungu ni mtaalam sana hakupi unachotaka😂😂😂,

Bad thing nilianza kuzeeka at my 20. Good thing ni kwamba am still looking as if am in my 20's.
Ulianza kuzeeka una 20 😅😅 chai
Ndio, natamani nibaki kijana na wazazi wangu wabaki vijana na wote ninaowapenda wabaki vijana.
 Yeeessssss
Moja ya kitu nimeshakikubali ni kwamba nitazeeka ila sitamani kuzeeka nikiwa dhaifu, kwa mapenzi ya Mungu natamani nifikishe miaka hata mia moja.
Naunga mkono hoja kasoro hapo kwenye miaka 100 hapana
Miaka 30, katika umri huo nimejifunza mengi sana nimeweza kutazama maisha katika nyanja tofauti.
Hongera sana
Kwakweli Huwa sijiangalii kwenye kioo, maana nipo kama Wassira😂😂😂. Kuna namna inabidi nifanye ili niwe nanyoa kiduku🤣🤣🤣
Eeeh aiseee
Nafanya Jogging au long walk alone, sipakai mafuta yoyote.
Mkuu paka mafuta bana
Nafunga kula siku 2 kwa wiki na msosi wangu mkubwa ni nyama, nakula kilo nzima pekeeangu😂😂😂🙌 na nakula mara Moja au mbili kwa siku.
Nzuriiiii hii nyama 🔥
Siogopi kuzeeka ila napenda hizi moment za maisha ziendelee, Napenda sana kuwaona watu wangu wa karibu wakiwa vijana.

Siipendi tuu aging



Ndio, ningechagua kubaki kijana milele.



Always we're here. Thank you kwa maada nzuri kabisa.
Karibu mkuu 🙏🙏🙏
 
Ninavyopenda uzee, vijana wangu nikiwaambia waniite mama wananigomea wananiita sister namind kinoma..!! 😹
Mimi hapanaaaaaa
Mi uzee naupenda na sasa hivi natamani kudate mzee ila sio age ya baba yangu..!

Wale wazee wa 45yrs ndo target yangu..!!
Hapa wewe ni twin sivutiwi na vijana kabisa watu wenye umri walau 35 kwenda juu zaidi zaidi 40_45
 
Back
Top Bottom