Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,452
- 31,443
Sasa kama upo tayari kufa, Huoni hii kutamani "forever young" hakuna tija, faida wala msingi?Nipo tayari kufa ndio kuna uzi wangu ni ta ku tag utasoma maana utasema imesema kwa sababu umeuliza
Mimi siogopi kifo
Ninacho ogopa ni process za kifo
Nisingependa kuumwa sana
Nisingependa kufa kifo cha maumivu makali
Ninachotamani nife nikiwa ni me chill sehemu au nilale nipitilize huko huko usingizini
Kwa sababu kutamani forever young ni ili ufarahie huo u-young.
Sasa ukishakufa, utawezaje kufurahia
u-young?