Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,661
- 57,000
Lugja gongana kivipi? Nilianza kukuambia kila kiumbe hai (Wanyama na mimea) kina sifa zake 7 ikiwemo Growth. Sasa hiyo growth si ndio lazima utazeeka na ukizeeka kuna baadhi ya cells zitapotezq uwezo wake wa kufanya kaziDuh noma aisee naona lugha gongana mimi sidhani kama kutokuzeeka kuna tatizo aisee
Kwahiyo ukizeeka ndio unaendana na dunia?
Kwahiyo hii sifa ya growth inaendana kabisa na hoja yangu ya kutotamani kuwa FOREVER YOUNG. Na andiko lako limebase kwenye Falsafa bila kuzingatia BIOLOGIA. Kuna mambo mengine hata ukiyatamani kuwa hayawezi kuwa