Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

Hafu anadownload vitabu bure kabisa hafu yeye anatafsiri kwa kiswahili na kuviuza , mbona wazungu hawafanyi hivyo huko mnakodownload,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nimeamini dunia watu wa ajabu hawatokuja kuisha,,,hao wazungu washaviuza copy za kutosha sio bure Kama unavosema wewe. Just imagine mtu
*Katumia mda wake, mb zake kutranslate kitabu kizuri kilichoandikwa kwa old English ambayo ni ngumu kdg. Halafu wewe unaona Kama ukilipa hela ambayo ni chini ya 1$ atafaidi.
Bro kama unaona elimu ni ghali basi jaribu ujinga kwa hujafosiwa ukiona gharama acha
.
 
mimi mwenyewe ni meshangaa hao wazungu wanatoa edition mbalimbali hicho kitabu na kuchapisha upya
 
Kwa nini uuze , atumie Mbinu wanazo tumia wao kuingiza ela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena mkuu
 

Ukisikia wachawi ndio hao mzee,jamaa analeta ujuaji we mpotezee tu.
 
Nakusapoti
 
Ni kwamba wewe utumie hiyo 90% halafu hiyo 10% usiiguse kabisa hata itokee nini, ikifikia mahali hiyo 10% uliyokuwa unatunza imeanza kuwa nyingi ndo uiingize kwenye uzalishaji izalishe wenzake.

Hivyo ndivyo alivyomaanisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…