Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,275
- 2,970
Nimeelewa vibaya,pulling??!!?Ukiwa barabara kubwa na gari haina pulling da unateseka sana mi nakuwaga na V8 dereva anavyowakataga naona raha sana hadi dereva wangu ananionaga muhuni huwa namwambia tu watembezee moto hao basi anawakata tu ha ha ha ha ha njiani raha sana
Ile nimetoka zangu kununua mahitaji Fulani kwa ajili ya safari yenye kuchukua 1000km,nipo na wife na daughter, natembea zangu mwendo wa 60-70 km per hour...
Hapo nipo rough road, mbeleni nikawaona wanafunzi was chuo wakiwa mazoezini(field),hao wanafunzi ni manesi,wakiwa na smart phone zao ,na walikuwa busy kuchati,nikapiga honi ili wajue kuna gari ,maana gari angu ilikuwa mpya hivyo haina makelele sana
Basi ile nakaribia mita tatu NNE hivi,ghafula nurse wawili wakawa wanavuka upande wa pili,huku wakiwa wanakimbia,na Mimi nipo spid ,nilikunja usukani ghafula,ile kuwakwepa,nikagonga ukuta wa Barabara ,nikapinduka tairi juu,huwezi amini ndipo niliamini mkanda una manufaa sana,tulitoka salama salimini
Ila gari iliharibika vibaya,nilitumia gharama ka 2.5M kulikarabati
Kitimoto.Kisa cha tatu, Usiku saa nane usiku, tarehe 12/04/2017 naenda kumzika Mama yangu kipenzi (RIP Mom), pale Korogwe Chekerei, niko na mke na watoto na mshkaji, wote wamelala, niko alone na nimechoka balaaa. mbele kabisa kama mita mia moja yuko ndugu yangu na gari nyingine, katikati niko mimi na nyuma zaidi yuko Bro na famili yake pia. Ghafla akatokea kitimoto mwekundu saa nane usiku anakatiza barabara...ile kumkwepa nikajikuta nimeingia pembeni mwa barabara na gari imezima hadi taa. Tulikua salama, Kaka aliliona lile tukio na kitimoto akatokomea porini. Tulipona

aliyetunga chili kina Mae no kitimoto tiu...Pilisi wagelowa na kukwama!Sass simngewapigia simu police?
Yaani uko na familia unawakwepa watu kwa uzembe wao...... wabebe tuIle nimetoka zangu kununua mahitaji Fulani kwa ajili ya safari yenye kuchukua 1000km,nipo na wife na daughter, natembea zangu mwendo wa 60-70 km per hour...
Hapo nipo rough road, mbeleni nikawaona wanafunzi was chuo wakiwa mazoezini(field),hao wanafunzi ni manesi,wakiwa na smart phone zao ,na walikuwa busy kuchati,nikapiga honi ili wajue kuna gari ,maana gari angu ilikuwa mpya hivyo haina makelele sana
Basi ile nakaribia mita tatu NNE hivi,ghafula nurse wawili wakawa wanavuka upande wa pili,huku wakiwa wanakimbia,na Mimi nipo spid ,nilikunja usukani ghafula,ile kuwakwepa,nikagonga ukuta wa Barabara ,nikapinduka tairi juu,huwezi amini ndipo niliamini mkanda una manufaa sana,tulitoka salama salimini
Ila gari iliharibika vibaya,nilitumia gharama ka 2.5M kulikarabati
Hii ya google map halafu ni usiku na mara ya kwanza kuendesha gar masafa marefu nilipoke njia nashituka sion hata taa za nyumba barabaran n mapolin ninapita n hatari woga ukaniingia ikabidi nisali kumkumbuka mungu wangu mlinzi wa yote, nikageuza kurudi main road nashukru gar ilikuwa full tank.Mimi mkasa wangu ni watofauti kidogo. Huwa napenda sana kusafiri usiku nikiwa naendesha gari mwenyewe. Nakumbuka mwaka jana around April nilikuwa natoka kigoma naenda Geita. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kuendesha hiyo njia kwa hiyo nikatumia msaada wa Google Map.
Safari ilianza saa mbili usiku, saa tatu na nusu nilikuwa kasulu, saa sita kasoro nilikuwa Kibondo. Hapo nikashuka nikanunua Redbull, nikanywa saa saba kamili nikaamsha. Sasa ukiwa unatoka kibondo unaitafuta Kakonko, kuna sharp corner moja ambayo kama sio mzoefu au unapita usiku ni vigumu kuiona. Na bahati mbaya hapo network ipo chini.
Sikuiona hiyo corner, nikanyoosha. Network inakamata nilikuwa kama km 60 hivi niingie Burundi. Nikaona isiwe kesi nikageuza gari nikarudi nikaipata ile corner safari ikaendelea.
Ubaya wa Google map kwa wakati ule walikuwa hawaja update barabara hii mpya inayounga Kakonko na Kibondo, so walikuwa na ile ya zamani ambayo ilikuwa haitumiki. Bwana wee nikapita hiyo njia, Mungu saidia nikatoboa nikaipata njia mpya mwendo.. nikapita Kakonko vema mpaka Nyakanazi.
Sasa ukiwa Nyakanazi, Google Map inaonesha njia ya kufika Geita ni kupitia Biharumo, wakati kiuhalisia kuna hii ya Runzewe (Hii nilipita wakati narudi).
Hiyo safari ilikuwa ndefu sana , ilinifurahisha maana nilijifunza na maeneo mengi. Gari niliyokuwa natumia ilikuwa Land cruiser Prado, na mimi sio mkimbiaji sana. So safari hiyo ya Biharamuro, nikazunguka nikaingia Geita Saa nne Asubuhi.
Tired but excited![]()
Hatari sanaHii ya google map halafu ni usiku na mara ya kwanza kuendesha gar masafa marefu nilipoke njia nashituka sion hata taa za nyumba barabaran n mapolin ninapita n hatari woga ukaniingia ikabidi nisali kumkumbuka mungu wangu mlinzi wa yote, nikageuza kurudi main road nashukru gar ilikuwa full tank.
Hizi short cut za google during night hour NO, full kufuata main road
Hici wameacha kuteka maana kati kati ya kakonko na kibondo hua wanateka
Dah! Pole sana mkuu.Ile nimetoka zangu kununua mahitaji Fulani kwa ajili ya safari yenye kuchukua 1000km,nipo na wife na daughter, natembea zangu mwendo wa 60-70 km per hour...
Hapo nipo rough road, mbeleni nikawaona wanafunzi was chuo wakiwa mazoezini(field),hao wanafunzi ni manesi,wakiwa na smart phone zao ,na walikuwa busy kuchati,nikapiga honi ili wajue kuna gari ,maana gari angu ilikuwa mpya hivyo haina makelele sana
Basi ile nakaribia mita tatu NNE hivi,ghafula nurse wawili wakawa wanavuka upande wa pili,huku wakiwa wanakimbia,na Mimi nipo spid ,nilikunja usukani ghafula,ile kuwakwepa,nikagonga ukuta wa Barabara ,nikapinduka tairi juu,huwezi amini ndipo niliamini mkanda una manufaa sana,tulitoka salama salimini
Ila gari iliharibika vibaya,nilitumia gharama ka 2.5M kulikarabati
tembea tembea yangu bila kuangalia
saa ngapi nisijikwae kidole cha mwisho hiki kidogo
asee hiyo siku nilivaa sendo,iliuma hiyooooooo
niliruka na ku danki danki kama mpira wa basket ball
sema siku hizi nikitembea Macho chini,sipend kabsa jikwaaa
Halafu leo asubuhi, saa ngapi nisidumbukie kwenye tope nilizani kumekauka
naweka mguuu mara umezama wote chubwiiiiiiiii
Bara Barani kuna maswaiba ndugu zangu acheni kabisa
Mwalimu wangu aliniambia honi ni matusi.Tulikuwa kwenye kwenye foleni ya junction ambayo haina taa wala askari,sasa magari ya mbele yakawa yanajichomeka chomeka bila mpangilio tu mwisho wakazua foleni gari hazitembei.
Nikawa napiga honi kwa mtu wa mbele yangu za kumtia mtu hasira ajione mzembe(kama zile za mabasi ya mkoani au fuso) .
Kumbe yule wa mbele alikuwa ni mjeda akashuka kwenye gari yake bhana akanifwata nyuma....
Nitarudi ngoja kwanza niende toilet
Ukanda huo kuanzia lunguya hadi ilogi ni balaa kwa mizengwe.Mwaka 2001 nilikuwa ndani ya Hice "public transport" ikiwa natokea Wilayani Kahama naelekea Kakola. Tulipo fika kijiji cha Lunguya, gari nilivyo panda ikiwa imesimama barabarani ikishusha abiria, nikishuhudia Mvua kubwa ikinyesha upande mmoja wa barabara na upande mwingine ikiwa hainyeshi na ardhi ni kavu kabisa.....
Hili jambo lilinishangaza sana hakika
Alafu... Sijui kwanini tu nimechangia kwenye huu Uzi, maana naona wachangiaji wote wanamiliki mikebe Daslam...
Dah! Hii si mchezo!Traffic alinisimamisha akataka chochote nikamwambia nina buku 5 tu ya lunch,akaniambia yote hiyo ule pekee yako wengine tule wapi ebu lete nikaipasue.
Nikajua utani akaichukua kweli akaenda kwa mwenzie kwenye defender ghafla akarudi na buku 2 jero akanipa.Nikaishia kucheka tu,mie huyoo nikaendelea zangu..