Hatari sana....lakini hukupata madhara yeyote bila shakaHahaha nina mikasa mingi tu
ngoja nianze na hii ninayokumbuka, Mkasa wa kwanza, nilikua naenda Kyela, naendesha na niko alone, safari ilianza saa kumi jioni, nikajivuta hadi Kiabaha ilikua siku ya Jumamosi nikamfuata Bro, tukala Mbuzi kwanza nikaendelea na safari nikafika Moro nikaonana na rafiki yangu kipenzi, tukapiga story hivi kidogo saa nne nikaanza safari. Niliendesha usiku mzima, Makambako nikafika saa kumi usiku, sasa pale mbele Ilembula kuna mji nadhani siju ndio Igawa...kulikua na road maintance, nilikua nimechoka kwahio hata vision ilikua ndogo, mbele kulikua na lori, ghafla kumbe nimefika mwisho wa lami nimeanza rough road duuhhh, nikafunga break ghafla ili kupunguza mwendo aiseee, yaani gari iliserereka kuifuta lile lory. Kulikua na baridi lakini nilihisi kuloa jasho. Sitakaa nisahau
Hapo bila shaka mkuu ulianza kuona nyota nyota kabla hata ya kuchezea makonde.....tabu ya barabarani kila mtu akiwa na chombo anajiona king na tabu huanza pale wengine wanapoanza kutumia mamlaka yao.Tulikuwa kwenye kwenye foleni ya junction ambayo haina taa wala askari,sasa magari ya mbele yakawa yanajichomeka chomeka bila mpangilio tu mwisho wakazua foleni gari hazitembei.
Nikawa napiga honi kwa mtu wa mbele yangu za kumtia mtu hasira ajione mzembe(kama zile za mabasi ya mkoani au fuso) .
Kumbe yule wa mbele alikuwa ni mjeda akashuka kwenye gari yake bhana akanifwata nyuma....
Nitarudi ngoja kwanza niende toilet
Haahaaaa pole sana kama nakuona jicho lilivyokutoka. ndio ujifunze acha mapepe barabaraniKisa cha pili, mwaka 2016 tunakwenda kula Pasaka Tanga, nilikua na kigari kidogo DUET ndio kwanza kimetoka kwa fundi, katikati huko tumeshapita Wami mbele huko kuna sehemu tamu sana zile...unapenda unshuka, unapanda unashuka aaaaghhh, wakaja jamaa wana Subaru nadhani zilikua Impreza kama sikosei, Subaru mbili na BMW saloon nadhani, wakanipita, muda huo kigari changu kimetoka gereji na kimewasha taa ya ABS, aiseee nikapelekana nao....wakaniacha mazima, sasa nikanogewa na ile ligi ya washkaji, nikawaona wameshuka kwenye down moja tamu sana nadhani ni KIMANGE pale halafu nikawaona wanapandisha kilima kingine, nikakanyagia na mimi DUET ikafika 130km/hr kana=suffocate vibaya, asa wakati napandisha kwenye kile kilima na mimi, mbele kukawa na lory limebeba mbao....nikaanza ku-overtake, ghafla ni lory lingine linashuka speed, na ile sehemu ilikua nyembamba...ninachokumbuka ni kwamba nilifunga break hadi gari ikajaa moshi kule mbele, nilikua naona kabisa naenda kuingia nyuma ya Lory, MUNGU saidia nilisimama kama mita tatu nyuma ya Lory, baada ya pale aaghhh acha tu. Nilisikia kiu kama vile nakufa
pole sn, mungu mkubwa aliwanusuruKisa cha tatu, Usiku saa nane usiku, tarehe 12/04/2017 naenda kumzika Mama yangu kipenzi (RIP Mom), pale Korogwe Chekerei, niko na mke na watoto na mshkaji, wote wamelala, niko alone na nimechoka balaaa. mbele kabisa kama mita mia moja yuko ndugu yangu na gari nyingine, katikati niko mimi na nyuma zaidi yuko Bro na famili yake pia. Ghafla akatokea kitimoto mwekundu saa nane usiku anakatiza barabara...ile kumkwepa nikajikuta nimeingia pembeni mwa barabara na gari imezima hadi taa. Tulikua salama, Kaka aliliona lile tukio na kitimoto akatokomea porini. Tulipona
Sijawahi kupata hata mchubukoHatari sana....lakini hukupata madhara yeyote bila shaka
Hahahaah nimejifunza sana, sitaki tena kitu kianchoitwa speed wala ligi, nimejifunza vya kutosha, Please USSIGE MAMBO AMBAYO HAYAKUHUSUHaahaaaa pole sana kama nakuona jicho lilivyokutoka. ndio ujifunze acha mapepe barabarani
Alilitengeneza lakini kwa mbinde sanaHalafu alikulipa au ilikuwaje mkuu?
haha mengine ngoja nimuachie Kaka yangu MANI Mzee wa Crown hahaha tulikimbia speed 180km/hr tukiwa na Sbaru B4 Legacy tukienda kwenye Msiba wa Marehemu Mohamed Mtoi..... Siku hizi nimekua naendesha baskeli tu
Naendelea sasa akaja kwangu akanigongea kioo nikashusha kidogo akaanza kuporomosha matusi..bila kujua pembeni yangu kushoto alikuwa amekaa mtu mmoja mkubwa sana kutokea pale eagle house,alivomuona akaomba radhi na kupiga saluti na kisha kuondoka zake kurudi kwenye gari yake.Hapo bila shaka mkuu ulianza kuona nyota nyota kabla hata ya kuchezea makonde.....tabu ya barabarani kila mtu akiwa na chombo anajiona king na tabu huanza pale wengine wanapoanza kutumia mamlaka yao.
Ila Kaka unakimbia sana aiseee!!! Hahahahahmpwa acha tu kuna mwaka zamani kidogo wakati barabara ya chalinze / segera ni mbovu miaki ya 80's nashuka kwedikwazu kuja dar na gari kumbe gari pipe ya breki imekatika mbele kuna tanker ya mafuta ile natoa gia ili nirudi namba moja si ikaingia free huo msala siatakuja kuusahau maana gari haina breki halafu iko free mbele kuna lori anakwepa mashimo, ilibidi anistahi na yeye kwa kuyavaa mashimo ili nisimgonge. Gari ilipita kwenye lile daraja kama ndege mpaka pale juu wanapouza mkaa ndio ilisimama.
siku hizi mwisho 130 kph tuIla Kaka unakimbia sana aiseee!!! Hahahahah
Uganga wa mvua unafukia chumvi tu uwanjani basi inasimama mkimaliza yenu inaendelea nakumbuka kipindi nasoma high school kuna siku kulikua na mechi ya fainali tulikamiana sana sasa mvua ikataka kuzingua kuna jamaa toka makete huko ilibidi afanye makeke mvua ikasimama mechi ilivyoisha ilishuka mvua moja matata sana ha ha ha ha ha hii dunia ina mambo sanalkn ya Ushimen kiboko mvua imegawa barabara, kushoto radi na mafuriko kulia jua na vumbi
Hata Makuyuni kutoka Minjingu kwenda Arusha nilikuta mvua kubwa lkn ulikuwepo Mnada wa siku nikaona pakavu hasa, wakasema Wamasai wamezuia mvua hadi mnada uishe, ilibidi nisogee na mimi nikale nyamachoma ya kutundika, niktafiti uganga wa mvua
Hahahahaa Kakasiku hizi mwisho 130 kph tu
Ukiwa barabara kubwa na gari haina pulling da unateseka sana mi nakuwaga na V8 dereva anavyowakataga naona raha sana hadi dereva wangu ananionaga muhuni huwa namwambia tu watembezee moto hao basi anawakata tu ha ha ha ha ha njiani raha sanaKisa cha pili, mwaka 2016 tunakwenda kula Pasaka Tanga, nilikua na kigari kidogo DUET ndio kwanza kimetoka kwa fundi, katikati huko tumeshapita Wami mbele huko kuna sehemu tamu sana zile...unapenda unshuka, unapanda unashuka aaaaghhh, wakaja jamaa wana Subaru nadhani zilikua Impreza kama sikosei, Subaru mbili na BMW saloon nadhani, wakanipita, muda huo kigari changu kimetoka gereji na kimewasha taa ya ABS, aiseee nikapelekana nao....wakaniacha mazima, sasa nikanogewa na ile ligi ya washkaji, nikawaona wameshuka kwenye down moja tamu sana nadhani ni KIMANGE pale halafu nikawaona wanapandisha kilima kingine, nikakanyagia na mimi DUET ikafika 130km/hr kana=suffocate vibaya, asa wakati napandisha kwenye kile kilima na mimi, mbele kukawa na lory limebeba mbao....nikaanza ku-overtake, ghafla ni lory lingine linashuka speed, na ile sehemu ilikua nyembamba...ninachokumbuka ni kwamba nilifunga break hadi gari ikajaa moshi kule mbele, nilikua naona kabisa naenda kuingia nyuma ya Lory, MUNGU saidia nilisimama kama mita tatu nyuma ya Lory, baada ya pale aaghhh acha tu. Nilisikia kiu kama vile nakufa