Umewahi kula papa? Mara ya mwisho lini?

Nilipokuwa mtwara nilijaribu kupika na kula. Ila ile harufu ya mko.... kwa kweli sikuopenda kbs. Hapa Dar nawaona lkn sijafikiria kununua teena.
 
Nilipika march alikuwa mtamu sna niliona sehemu namna anamuosha kumpunguza chumvi nikaiga aisee nilienjoy zamani nilikuwa simpend kabisa sabbu ya chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…