Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,177
- 13,005
we unakula Ng'onda sio Papa kuna tofauti kati ya papa na Ng'onda kwa watu wa visiwani Zanzibar na pemba tunajuaMi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa.
Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe😒
Pili ni chumvi nyingi sana.
Mie asili yangu ni pwani,hiyo ni kitu pendwa kule.wanapenda kavu au na muhogo.mhogo wa nazi au ugali wake wanaita bada.
Na pia kuunga mchuzi lazima bamia na nyanya chungu.
Mara ya mwisho kula papa ni lini?
Jamii yenu inakula?
Mimi nikajua kipapa🙌🏿🏃🏿🤣Kabla ya yote, mna semea papa yupi?, maana akili yangu naijua
wewe unadhani ni papa yupi?Kabla ya yote, mna semea papa yupi?, maana akili yangu naijua
Na kibua vipi?Ujue ma mkwe papa huyo kiasili hana chumvi kiasi hiko, ila hiyo huwa inawekwa kwa ajili ya kuihifadhi ikae muda mrefu, hata nyama, ama samaki wengine kama nguru etc huwa wanawekwa hivyo ili wakae sana
Oh basi mi nkajua ndio asili yake.yani hata upike mda mrefu kiasi gani haitokiUjue ma mkwe papa huyo kiasili hana chumvi kiasi hiko, ila hiyo huwa inawekwa kwa ajili ya kuihifadhi ikae muda mrefu, hata nyama, ama samaki wengine kama nguru etc huwa wanawekwa hivyo ili wakae sana
(5,179) Shurubati ya papa, Shurubati ya kamongo | JamiiForums Tanzania Shurubati ya papa, Shurubati ya kamongoMa mkwe papa gani..
PAPA WEMBA?
PAPA samaki..
Papa wa katoliki
ama PAPA kiungo pendwa
Kama ni kiungo pendwa nina muda mrefu saana sijaburudika nacho..
Nahisi naanza hata kusahau kinafananaje na naweza nikasahau hata matumizi yake.😂🤣
Ukipikiwa Leo utakula?
hapanaUkipikiwa Leo utakula?
Sharubati ni juice(5,179) Shurubati ya papa, Shurubati ya kamongo | JamiiForums Tanzania Shurubati ya papa, Shurubati ya kamongo
Hukuipenda?hapana
NDIOHukuipenda?