Umevaaje

Umevaaje

Safi sana mchane live,mtu umelala zako anakuamsha na msg eti umevaaje? Inakeraga jamani kwa wadada but Btw kwani now umevaaje Prince?

na wewe tena!!!
 
Mi napendaga kuuliza hivyo coz ni kama namuona vile alivyovyaa,duh aisee we acha tu,
 
Tatizo aliyekuuliza usiku umevaaje HANA hela so ikaona anakukera tu!

Angekuwa kakuuliza hivyo Ridhiwan ungesema kila kitu tena kama ulivaa under skirt ungedanganya kama umevaa thong tu!

Mhhh hela ahahahahahaah

Hata mimi nina hela.... Sidanganyiki
 
Bibie punguza hasira;

Endapo kama humfahamu huwezi elewa huenda mwenzio anakufahamu sasa usije baki mdomo wazi siku mkikutana na wewe ndio umeshamwaga maneno yoooooooote!!!!!!

I don't care.... aende zake
 
Ahahaha Ntuzu kaikimbia Chelsea yake kule wala haitetei ahahaha!

John Terry agree one year extension!What a pity?
DEMBA umevaaje hapo ulipo?


Mwanangu we Acha tu! Lkn nipo sn kule napita sn tu!
 
Last edited by a moderator:
Hivi toka walipopigwa na ATM hajageukia.pande zile mkuu?
DEMBA apa alipo hajaamka so.u can just imagine kama amevaa au hajavaa... Ntuzu fukuzeni morinyo


Morinho hatoki Mkuu!

Record yake Kwa makocha waliopita Chelsea YEYE Bado Yuko juu!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nina hela.... Sidanganyiki

Frankly speaking I do not see any matata kwa jinsia ingine kuniuliza hivyo hasa kama niliwahi kumtupia maneno mawili-matatu ya mwambao!

Uwe unaniuliza mm hivyo kila siku wala sitachukia ati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom