Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wee baba acha kumuwehushaaa shouzzz angu,
Kwann usimuachee hata kidogo? Hata km yeye ame fall love kwako, hebu mfungie vioo,

Wee varangatii lote lile? Huna hata mshipa wa aibu wee mwanaume jamanii khaaah.
Sahivi uko na shouzzz, vipi wale vimada wako ulokutana nao ofisini na gym wanajisikiajeee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wee baba uwage hata na mshipa wa kujistukiaaa,
Mfyuuuuuuuh
🤣🤣🙌Mbavu Sina
Mwachieni mmeambiwa🤣
Jf jmn

We coca sahivi picha unaona zikiwekwa?
 
Mambo yetu tuachie wenyewe coca mnaniua mbavuuu kwa kicheko hukuu 🤣🤣🤣🤣🤣!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji119]Mbavu Sina
Mwachieni mmeambiwa[emoji1787]
Jf jmn

We coca sahivi picha unaona zikiwekwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sahv mapenzii yametamalakiii humu ndaniii,
Wake wenza wamekuja upyaaa kwenye uzii, yaan mambo yatakua aste aste, mwendo wa kigoma na tarumbeta.

Weraaaa weraaaaa.
 
Mambo yetu tuachie wenyewe coca mnaniua mbavuuu kwa kicheko hukuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Wee umerogwaa sio buree, jamani limbwata alokufanyia huyo smart wako, ni komeshaaaaa.
Mganga wake sio tapelii wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sahv mapenzii yametamalakiii humu ndaniii,
Wake wenza wamekuja upyaaa kwenye uzii, yaan mambo yatakua aste aste, mwendo wa kigoma na tarumbeta.

Weraaaa weraaaaa.
Yaani jmn 🙌🙌🙌
Mambo ni 🔥🔥🔥

🤣🤣🤣Mbona kumekucha
 
Yaani jmn [emoji119][emoji119][emoji119]
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona kumekucha
Kumekuchaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan angekuwepo uduguu wangu lamommy ashuhudie heka heka za selfika 2.
Maan selfika 1 alikuta mwshoni kabisaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom