Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,849
- 57,525
Miaka ile ya 47 Wazee tulikuwa tunasema kweli "yaliyomo yamo" 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Kwa waliopitwa
Inafutwa🤣🤣🤣
Miaka ile ya 47 Wazee tulikuwa tunasema kweli "yaliyomo yamo" 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Kwa waliopitwa
Inafutwa🤣🤣🤣
Kuja hapa maili sita kwanza 😄 nakutumia hata chopa ya kili medair ije ikubebe chap 😄Hahaa culture idumu.. kumbe tushafika Kishumundu,, Enjoyyy hapo
Nimekatazwa tu kusifia wanawake wa wenyewe na wifi yako ila sina la kusema zaidi ya "waumize roho vijanaaaa"Ahaha!! Good evenin’
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🐒Wee umerogwaa sio buree, jamani limbwata alokufanyia huyo smart wako, ni komeshaaaaa.
Mganga wake sio tapelii wallah,![]()
NasubirShangaziiii picha ziko photoshoot, bado sijapata kutoka kwa cameraman wangu.![]()
Babu 🤣🤣🤣Miaka ile ya 47 Wazee tulikuwa tunasema kweli "yaliyomo yamo" 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ulipata dinner lakini au bado unaendelea na vilevi?🤣🤣🤣🤣
Nafuta picha usiseme nirudie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🐒
Punguza sauti🏃♂️🏃♂️🏃♂️Mmeanza na ma dramaa yenuu, asee sahiv mtafute uzi wa kwenda kugombaniaa huko, na huyo basha wenu smart.
Hatutakii humu varangatiii tenaa.![]()
😆🥂 mitano tena kwa wifi mtuNimekatazwa tu kusifia wanawake wa wenyewe na wifi yako ila sina la kusema zaidi ya "waumize roho vijanaaaa"
😀😀😀Oyyyy alafu bibie hiyo mipaja mpaka nimeweka mbege chini 😄😋😘🔥
Mi sio mtu wa vilevi mtumishi 😀Ulipata dinner lakini au bado unaendelea na vilevi?
😂😂 ready to go..Kuja hapa maili sita kwanza 😄 nakutumia hata chopa ya kili medair ije ikubebe chap 😄
Hata Wazee tunaona ujue 😅🏃♂️🏃♂️🏃♂️Babu 🤣🤣🤣
Amenikamata moyo nyie wengine hamna tofauti na kalapina.🤣😆🥂 mitano tena kwa wifi mtu
Kazi yake ni njema..
Malizia mbege kwanza nikupe salamu za mwaka mpya🤣🤣
Ndo inavyokuwaga.. wengine mbuzi tu 🤣 watabaki wachague ‘wawe wa maziwa au wa nyama.Amenikamata moyo nyie wengine hamna tofauti na kalapina.🤣
Bhaaassss kheri mama mtumishiMi sio mtu wa vilevi mtumishi 😀
Nilikula vzr
Embu tupia tena toto zurii 😉😂😂 ready to go..