Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Jmn picha za Tecno nadhani mnaelewa zinavyokua
Kwahiyo kesho tusubiriane tupige kwenye jua
How you preppin' for your birthday bash Tayana?
IMG-20231224-WA0012.jpg
 
🤣🤣Niko singo mbona Omulasil simuwezi
Hii tabia umeanza lini? Omu....sijui,Dr/Doc na wengine wengine...!😅
Make room for them in your heart,maisha hayahitaji upweke utazeeka kabla ya wakati maana mwili unahitaji unyunyiziwe mbolea.

Usiku mwema
Nikiamka naomba nipishane na thread kutoka kwa vijana mkiambiana "i love you too,nikinywa maji nakuona kwa glass".🤣
 
Duh. Kumbe una mistari sana ya kuimbishia🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom