Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,863
- 37,614
NiniTupia
NiniTupia
Foto ya boxi day rafikiNini
Acha tumsubiriLamomy nakumisijeee uduguuu!!
😀😀😀Mi mwenyewe Sijui madam wasubiri wanakuja🐒!
Tuma vocha nijiunge 😅no nitumeFoto ya boxi day rafiki
Nini mwaya unataka kujua , nikwambie 😅
Najua umefika Pm wanakusumbua hutanistua ili niqeke kwa uzuri 😂😂Tuma vocha nijiunge 😅no nitume
Wala pm yangu imefungwa mbona 😅Najua umefika Pm wanakusumbua hutanistua ili niqeke kwa uzuri 😂😂
Vocha inakujaje?😂Wala pm yangu imefungwa mbona 😅
Yanii sijui ban yake itaisha lini jamaniAcha tumsubiri
Nyie na hekaheka za vocha hamjakoma tu????🙌🙌🙌🤠🤠🤠!Vocha inakujaje?😂
Kweli maisha bila unafiki hayaendi.Umeona eeh
Kweli hayanaga mwongozo
We are very happy for them![]()
Eti lengo tuwarushe roho. Tumekuwa wakubwa sasa tuache😂😂😂Nyie na hekaheka za vocha hamjakoma tu????🙌🙌🙌🤠🤠🤠!
Kiukweli haujawahi kunichekesha kama Awamu hiii!
Vibaya hivooo....Mkiturusha tunaonyanyasika nisie hamjui tu🤣🤣!Eti lengo tuwarushe roho. Tumekuwa wakubwa sasa tuache😂😂😂
Fungu la kutumia litakuwa kwenye account yake ya benki🤣👍
Dah muda huu niko tumbo wazi na sina hata kitambi cha kufutia screen ya smartfoni😂🤣Vibaya hivooo....Mkiturusha tunaonyanyasika nisie hamjui tu🤣🤣!
Hebuu tupieni mafoto wapendwa Uzi hautaki story huu 🤳
Nmefungua macho tu 🤣It's a boxing day, vipi umefungua zawadi ama umeishia kufungua milango😀😀
Kwani na sisi Wazee tunaingia kwenye hilo kundi?