Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,874
- 37,651
Wizo mbavu zangu jmnYaani ,nimekuwa mvivu kukatika chitchat,napita hili wala lile
Nashangaa Bossledi wetu umerudisha majeshi kwa nguvu kwa mtu uliyesema aliambukiza watu gono.
Nikashtuka,Ina maana mjeda umempiga chini Tena pamoja na misamaha na Toba zote ulizoomba!?
Ama mnaandaa sinema zetu wajameni😁
🤣🤣🤣🤣🤣🙌


