Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Nashukuru Mungu zawadi zangu ni za miamala tu kwakweli
Miss Coin Connoisseur
IMG-20231226-WA0005.jpg
 
Hao sio wa kwanza kurudiana kama ni kweli.

Mwaka 1969 Mzee Ngachau aliyekuwa jirani yetu barabara ya 7, aliachana na Mke wake Bi Mwantumu na kila mmoja akashika njia yake.

Lakini wawili hawa, walikuja kutushangaza walipokuja kurudiana Mwaka 1977.

Kutokea hapo, sisi Wazee tulikuja na Msemo wetu kuwa "Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake" bila kusahau ule msemo wa "Mavi ya kale hayanuki"🤗
😀😀😀😀Kuna nn kwani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom