Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Kabisa🥂😍 Portable hatua habari na mloganzila ama niniiii💃🔥
Kabisa🥂😍 Portable hatua habari na mloganzila ama niniiii💃🔥
Sasa hivi haijirudii na usiseme mambo yetu wakuone unatumia tu😂😂😂🤣🤣🤣🤣
English figure 🥰🥰🥰🥰🥰View attachment 2852616Mmemaliza pilau🤪
Naam😇😂English figure 🥰🥰🥰🥰🥰
Kama nitapata Mjukuu wa kunisaidia kuvuka barabara leo nami nitakuwa huko mjini.🤣🤣🤣😍
Sawa Babu hizi siku 2 sijapita hapo
Na mpango wa kwenda movie leo
Hao sio wa kwanza kurudiana kama ni kweli.Kweli mapenzi ya watu sio ya kuyainglia aisee. Smart911 hakosei anaposemaga;
Mambo yao waachie wenyewe
Hebu itaje😅Kuna pisi moja hivi imeweka picha halafu amefuta, japo nimemuona…..
JF kuna vitu bwana! 😍😍
Nyie wazee mlikuwa na busara sana kweli Wagombanao ndio wapatanaoHao sio wa kwanza kurudiana kama ni kweli.
Mwaka 1969 Mzee Ngachau aliyekuwa jirani yetu barabara ya 7, aliachana na Mke wake Bi Mwantumu na kila mmoja akashika njia yake.
Lakini wawili hawa, walikuja kutushangaza walipokuja kurudiana Mwaka 1977.
Kutokea hapo, sisi Wazee tulikuja na Msemo wetu kuwa "Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake" bila kusahau ule msemo wa "Mavi ya kale hayanuki"🤗
Aliyeniqoute huyu 😍😆😆Hebu itaje😅
Hebu tumuone😛😂, Yuko wapi?Aliyeniqoute huyu 😍😆😆
Toka muoneee! 😅Hebu tumuone😛😂, Yuko wapi?
Kuna Kijana wangu wa kuitwa Z-Anto pamoja na kukuimbia kote kule nasikia ulimpiga chini eti Mahari haitoshi.Kuna pisi moja hivi imeweka picha halafu amefuta, japo nimemuona…..
JF kuna vitu bwana! 😍😍
Ni weweHebu itaje😅
Ms eyesKuna pisi moja hivi imeweka picha halafu amefuta, japo nimemuona…..
JF kuna vitu bwana! 😍😍