Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Hebu turudishie ile pichaRabeka!
Kwa kweli Babu-kijana mwakani tumalize kazi.Kuna Kijana wangu wa kuitwa Z-Anto pamoja na kukuimbia kote kule nasikia ulimpiga chini eti Mahari haitoshi.
Sasa Babu mtu nimejipanga kukuletea mahari upya, tuambie tukuletee ng'ombe wa ngapi Wazee tumalize kazi 😜
Heri ya Krismasi Mkuu 🥂
Umeona eehNyie wazee mlikuwa na busara sana kweli Wagombanao ndio wapatanao
Kwa kuwa sisi ni wapenzi wa hiyo rangi ya Dubai, tutaleta ng'ombe zote 2 kama ulivyosema pamoja na ng'ombe ndama kama nyongeza.Kwa kweli Babu-kijana mwakani tumalize kazi.
Vijana wanazingua sana, mimi na Z-anto mwalimu wa mathe alituambia hatufiki mbali kwani tumefikaaa? Hatujafika kokote🤣🤣
Kwasababu Z-anto alitoa ngombe 10 kwakuwa nilikua kigori, kwa sasa miaka imeenda sana, ngombe wawili tu na hao ngombe napokea mwenyewe usiwapelekee wajomba. 😝
NAKAZIAWe are very happy for them 😊
JF members wako tayari honeymoon gharama juu yao,elewana na kijana mambo yote yatakuwa safiii kabisa🤣.Sitoki na mtu mpk muamala usome🤣🤣🤣
Hebu subiri, hiyo rangi umeiona wapi kwanza! 😂Kwa kuwa sisi ni wapenzi wa hiyo rangi ya Dubai, tutaleta ng'ombe zote 2 kama ulivyosema pamoja na ng'ombe ndama kama nyongeza.
Waambie waanze maandalizi ya kutupokea wageni 🤗
Ushauri wetu Wazee kwa Vijana ni kuwa, inapotokea wamekwazana na kuachwa/kuacha haina maana hakutakuwa na nafasi ya pili.NAKAZIA
JF members wako tayari honeymoon gharama juu yao,elewana na kijana mambo yote yatakuwa safiii kabisa🤣.
Nitapendekeza sehemu.
Ngoja vijana waelewane kwanza,sitaki waishie hapa...Weka namba ya mchango mate tuchukue wifi.
Mwenyewe mambo yangu ni moto au hujaona? Utuombee!
Miaka ya 1947 tulikuwa na msemo wa kwamba utanyimwa chakula sio ubuyuHebu subiri, hiyo rangi umeiona wapi kwanza! 😂
JF hainaga siri!
Asante kwa nyongeza ya ndama “Mtarajiwa”
Unafika mbali!!! 😂😂😂Ngoja vijana waelewane kwanza,sitaki waishie hapa...
Sijaona aiseeh,unanificha au hutaki baraka za kaka?😅
Kuna kijana umeanza kugusanisha nae midomo tayari?
Mmeanza kuunganishana kihisia eh..
Nimeamini, nimeamini!Miaka ya 1947 tulikuwa na msemo wa kwamba utanyimwa chakula sio ubuyu
Fanya kutuongezea kapicha leo ili tuongeze ndama mwingine 😜
Hiyo ndio stage nzuri ya kula raha sasa,inatakiwa mpange trip ya kwenda kufahamiana zaidi au unaonaje?..Unafika mbali!!! 😂😂😂
Bado tupo stage za mwanzo kabisa, afu mi kijana sitaki…. Mi mwenyewe muhenga!
🤣🤣🤣🤣JF members wako tayari honeymoon gharama juu yao,elewana na kijana mambo yote yatakuwa safiii kabisa🤣.
Nitapendekeza sehemu.
🏃🏃🏃🏃🤣Umeona eeh
Kweli hayanaga mwongozo 🙌
We are very happy for them 😊