Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,667
- 16,039
Mbona havina madhara au umeshawaka birthday girlHivi vimeto meto vya sikuukuu hapa na nyie vinatokea? sivipendi
Navitoaješ¤£
Mbona havina madhara au umeshawaka birthday girlHivi vimeto meto vya sikuukuu hapa na nyie vinatokea? sivipendi
Navitoaješ¤£
NimechekaMbona havina madhara au umeshawaka birthday girl
Nahisi ushawaka kama Christmas treeNimecheka
Wala Niko vzr kipenzi šNahisi ushawaka kama Christmas tree
Mambo yalikuwa mengi. Nimepitwa mengi pia. Wish all the bestCousin Missy Gf Aaliyyah cocastic binti kiziwi Babu Grahams Mzee wa kupambania Omulasil Zulu man
Ms eyes nimeona blessings yako babygal looking gorgeous as usual
Tayana-wog birthday girlie Happy birthday dear . May you love longer and all your dreams come true
Aaliyahh na cousin Salamu zenyuuu mezipata sijatulia I will bless you later kama nipatata muda wa kupiga dears
Enjoy your day wapendwa cheersš„š¾
Happy belated birthday to you Tayana šš„³Wala Niko vzr kipenzi š
Tena ninamakizia dose yangu kesho
Laa sivyo ningejigongea Alter wine ,ila Sina namna
UmependezaSawa bana
Ngoja nitupie photo from Tecno š¤£
Antonnia Omulasil binti kiziwi cocastic raraa reree Missy Gf š¤£š¤£š¤£š¤£
Kesho nitapiga kwenye jua jmn
Mmh km nilifuta hiviUmependeza
ššš Asante drHappy belated birthday to you Tayana šš„³
Hahahaha,duh unaniuliza mimi tena, imekuaje wkt mie nimeikuta hapo ?Mmh km nilifuta hivi
šImekuwaje Tena
Btw šš
š š šSawaš¤£š¤£
Mniwie radhi, Jana wajukuu zangu walinichanganyia Smart Gin kwenye Mbege yangu maana nilijikuta ghafla nakumbuka enzi za Ujana miaka ile ya 1956 šHatariiiiii š¤£
Jana nimekaa hadi nikapitiwa na usingizi bila kuona hiyo pichaNimeamini, nimeamini!
Ngoja nitoe hiki kijora nilichokuwa napika nacho pilau, āniwe mtu na mimiā halafu kifuatacho ni mapicha picha.
Pombe za Christmas za kunywea ndani unazijua? Kila mtu alilala anapopajua humu ndani na simu zikawa hazijulikani zilipo.Jana nimekaa hadi nikapitiwa na usingizi bila kuona hiyo picha
Kweli Wazee hatuna bahati š¢
Kama tuliweza kuvumilia Pension zetu kwa miaka 3 ili zitoke ndiyo itakuwa ahadi hiyo ya masaa 3, Wazee tunajua kuvumilia MjukuuššāāļøšāāļøšāāļøPombe za Christmas za kunywea ndani unazijua? Kila mtu alilala anapopajua humu ndani na simu zikawa hazijulikani zilipo.
Usijali mtarajiwa.. picha zitakuja tena nyingi sana.