Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,302
Kunywa juice kwanza cousinDoh 😋😋😋!
Tumuone mpiga picha cousin Nimeipenda juisi😋
Nikipata hio Juisi ikisindikizwa na kafoto ahhh inakua baridaaaaa kabisa!Kunywa juice kwanza cousin
Huoni jua kali
Nili delete ndo maana nimeshangaaHahahaha,duh unaniuliza mimi tena, imekuaje wkt mie nimeikuta hapo ?
AloooooMniwie radhi, Jana wajukuu zangu walinichanganyia Smart Gin kwenye Mbege yangu maana nilijikuta ghafla nakumbuka enzi za Ujana miaka ile ya 1956 🙌
Hahahahaha,mchungaji mie sijui kwakweli labda hii itel imeanza kurestore picha zinazofutwaNili delete ndo maana nimeshangaa
Au haikuwa deleted
Duh
Anza wwSijaona mtupio wa Christmas wala boxing day, ila bado nipo nasubiri
🤣🤣 Anyway ngoja nitafuteHahahahaha,mchungaji mie sijui kwakweli labda hii itel imeanza kurestore picha zinazofutwa
Usikute bado iko🤣🤣 Anyway ngoja nitafute
Au itakua km Binti kiziwi ukidelete anaona ila akirudia haoni Tena, inawezekana sijui ndo browser ama nn sielewi
TumefunguaIt's a boxing day, vipi umefungua zawadi ama umeishia kufungua milango😀😀
Umefungua dirisha siyo?😀😀Tumefungua
😅
Nashukuru Mungu zawadi zangu ni za miamala tu kwakweli 🤣It's a boxing day, vipi umefungua zawadi ama umeishia kufungua milango😀😀
Safi sana 👍Nashukuru Mungu zawadi zangu ni za miamala tu kwakweli 🤣
Wow hii nzuri hongera mkuu
Ahsante sana.Wow hii nzuri hongera mkuu