Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

17 Akapokea kikombe, akashukuru,akasema, Twaeni hiki, mgawanye ninyi kwa ninyi.

19 Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema,[Huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu;fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.

20 Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.]

Luke 22
 
Attachments

  • IMG_20231226_082424_546.jpg
    IMG_20231226_082424_546.jpg
    525.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20231226-113410.jpg
    Screenshot_20231226-113410.jpg
    87.8 KB · Views: 6
Usijareee kabisa babuuuuu wewe tenaaa!

Utakula utakunywa taniii yakooo!
I'm honoured to have that special treatment

Nakuhaidi zile ekari 25 za mashamba lazima nikurithishe wewe Mjukuu 🤗

Muwe na mapumziko mema wewe na Mkwe wangu huko Mlipo
 
I'm honoured to have that special treatment

Nakuhaidi zile ekari 25 za mashamba lazima nikurithishe wewe Mjukuu 🤗

Muwe na mapumziko mema wewe na Mkwe wangu huko Mlipo
Aamin aamin babuu ushabariki jf ninani hata wakupinge???🤣😁🤠!

Holiday iko njema kabisa chini ya Smart911
 
Aamin aamin babuu ushabariki jf ninani hata wakupinge???🤣😁🤠!

Holiday iko njema kabisa chini ya Smart911
Kama mnavyofahamu Wakibarikicho Wazee hakuna wa kukilaani

Muwe na Mapumziko mema huko, ila Mkumbushe Mkwe kuwa Babu yenu nahitaji kumuona Kitukuu kingine, yule ameshakuwa

Fanyeni mpango likizo ijayo mniletee Kitukuu niwe nacheza nako.
 
Watoto ni baraka babuu usijali limeisha hilo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom