financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,361
Hahaa 😄Litoto kama hili ndio la kuhonga range rover autobiography 2023 yenye massage seat.
Hahaa 😄Litoto kama hili ndio la kuhonga range rover autobiography 2023 yenye massage seat.
Acha uchawi bas
Me nataka nitupie nikiwa nimevaa biker, bas nimehairisha


Hebu maliza case bas na wee,



Khaaaah!! Hapanaa



Chibongee!!Sometimes it's happy moments
Coca tupia vinjunga vyako bas![]()



bado bado mudaa, natupia pigo 1 matratraa sanaa.Mbna tahadhari mapemaa? Kwemaa??Ni uzi wa furaha tukichoka huko kwingine.. Tujitahidi tusikwazane na kuvunjiana heshima..
Tuvumiliane na kuwa tayari kuombana radhi tunapokuwa tumewakosea wengine kwa bahati mbaya bila dhamira kificho
Sent using Jamii Forums mobile app




Kwa kweli mi nataka nikuoe nipe muongozo.Ahsante mkuu, vipi unataka kunitunuku ndoa watu wale pilau?😀😀
JamiifForums wanawake wana sura ngumu kama zetu tu, wana maumbo kama sigara juu hadi chini kanyooka, si dharau wala tusi bali ni uhalisia, kama mie muongo ajitokeze yeyote ani prove wrong.
View attachment 2817376
Comments ziwe fupi, picha kwa wingi.



kumekuchaaaHizo simpoo sasa,




Selfika Version II
Weka madawa mapema ili kusije kuwa na vita na hekaheka kama kwenye Selfika Original...



nimecheka had mbavu zinaumaa.Nna sura ya baba, bonge afu mweusi tiiiii
Nisije kukutisha mkuu, acha tusubiri walioblesiwa na Allah tusafishe macho



unakuajee mweusi, jikii na diprozone za kupima zipoo.Ukiweka usisahau kuni tag kaka yako nione kama umeongezeka kilo,kilo za mzigo.😅bado bado mudaa, natupia pigo 1 matratraa sanaa.




cocastic mlete cazee wako wa Mwandiga Kigoma aje kutupia pic
Yule jamaa uko aliko anajua JF imefutwa!!!
Kashazoea selfika tyuu!! Ss hivi hauoni uzi anajua ndo basi hebu muiteni apite naked



cuzoo akee yuko depoo, akitoka huko yuko na gwanda za mabaka zenye vikolombwezo beganiii.



Nimejibu mkuu😀Hahahaha,ungemjibu ili nasi tusikie