DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,635
- 81,535
Hapana mimi,ni daktari wa falsafa
Mkuu samahani! We ni mwalimu?
Mkuu samahani! We ni mwalimu?
Nampiga mkwara mtaalamu, ngoja nigeuzwe ndondocha nikome🤣🤣Ila wifi akili zako unazijua mwenyewe 😂😂😂
NimewekaHebu tuone
OkyHapana mimi,ni daktari wa falsafa
Uzi ulipitishwa kilingeni kabla ya kuna hapaSelfika Version II
Weka madawa mapema kusiwe na vita na hekaheka kama kwenye selfika

mkuu kweli unakumbukumbu huu mguu wa kitambo sanaBadilisha viatu mkuu au hii ni pea ya kiganga.
😍😍😍😍My ni mjamzito 😍😍😍
Nimeamua kupunguza shobo saivi😁
Binti macho weka kapicha nafsi yangu isuuzike.Babe
Yaani simple hiyo hiyo tangu 2019!? Kweli?mkuu kweli unakumbukumbu huu mguu wa kitambo sana
hata kama ni ubahili huu sasa utakuwa ubahili pro max 


Ukigeuzwa mbuzi mi simo 😂😂😂Nampiga mkwara mtaalamu, ngoja nigeuzwe ndondocha nikome🤣🤣
Ndio vipaji vyetu mkuu Mungu katujalia.mkuu kweli unakumbukumbu huu mguu wa kitambo sana
Unaona sasa pisi kama hizi ni za kuhesabu sana.