Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,266
- 108,258
Anependeza huyu,Kama mwenzie wa kwenye avatar
Selfika Version II
Weka madawa mapema kusiwe na vita na hekaheka kama kwenye selfika




NakaziaBinti macho weka kapicha nafsi yangu isuuzike.
Hebu tukuone mtoto mzuri, natafuta mke.Wadau punguzeni maneno wekeni picha tuone kabla bundle halijaisha 😂😂😂
Pole, sasa hivi nitajizuia nisiweke hata ukucha😂Binti macho weka kapicha nafsi yangu isuuzike.
Unataka uniponze wewe😂Nakazia
haya bana,Pole, sasa hivi nitajizuia nisiweke hata ukucha😂
Leo ume confess😂? Si ulisema umeacha mapambano.haya bana,
ila unautesa mtima wangu.
😂😂😂 Nna sura ya baba, bonge afu mweusi tiiiiiHebu tukuone mtoto mzuri, natafuta mke.
Ngumu sana kuficha hisia.Leo ume confess😂? Si ulisema umeacha mapambano.
Weka shosti tuone vitu adimu 😍😍😍Unataka uniponze wewe😂
naota utamu😋Pichu ya nini wakati wa kulala
Tuanze na wewe mrembo😍🥂😂Weka shosti tuone vitu adimu 😍😍😍