Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Nimesema mimiUzi utaenda salama. Kuna mahali utafika, utageuka shagalabagala.
Naombeni kigoda. Nikae pale.



Kina vitu ukivikuta hapa Jukwaani hadi unapata huzuni.
Nimesema mimiUzi utaenda salama. Kuna mahali utafika, utageuka shagalabagala.
Naombeni kigoda. Nikae pale.



Bff nasubiri utupie nisafishe macho 😍😍Hebu tuone
Ni kutukuza na kukubali uumbaji mkuu, hakuna lingine🤣
🤣🤣🤣 anhh subutuuu hata sijaoga miye ndyo natoka jumuiya wacha nioge nije nione watu wakitupia...Waite basi wale team vindala😝Bff nasubiri utupie nisafishe macho 😍😍
Naona Manara wa jf katulia anasubiri kwa hamu pics za warembo aanze kusumbua watu piem 🤣🤣🤣
My beautiful baby girl.Our very own Mama.![]()
Coca tupia vinjunga vyako bas 😂😂😂Usitokeee, baki hapa ufauduu kutazama mema ya uumbaji wa Jah.
Umeanza 😂😂😂😂🤣🤣🤣 anhh subutuuu hata sijaoga miye ndyo natoka jumuiya wacha nioge nije nione watu wakitupia...Waite basi wale team vindala😝
Mie sijavaa kitu hapa 😁Tunasubiri yako😅
Nimevaa skipa ya UVCCM na jeans mpaukoUnajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza
Unajua ni kwanini maskini kuchagua viwalo? Kupendeza
Unajua kwanini baadhi getu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza
Hebu tupia ulichovaa leo uwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote upe..
Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
Mama Masaja


Kwani umeolewa?Pichu ya nini wakati wa kulala
NdioKwani umeolewa?
Bff tupia hata mkono basi 🤭Umeanza 😂😂😂😂
Wale hawaitwi parapanda ishalia, ss hivi wanakuja tusafishe macho.
Hata hiyo kitu ambayo hujavaa weka tu🤣Mie sijavaa kitu hapa 😁