financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,360
Hahaa mahari yote hiyo ya nini mkuu, hizo ng'ombe zitasaidia ada za shule za watoto😀Hahahaha,kwakua kaniwahi basi, mie ningetoa Ng'ombe 4 ,Mbuzi mmoja
Hahaa mahari yote hiyo ya nini mkuu, hizo ng'ombe zitasaidia ada za shule za watoto😀Hahahaha,kwakua kaniwahi basi, mie ningetoa Ng'ombe 4 ,Mbuzi mmoja
za huyo jamaa ni
![]()
Hahahaha,safi sanaHahaa mahari yote hiyo ya nini mkuu, hizo ng'ombe zitasaidia ada za shule za watoto😀
Hii picha ipo kwenye wimbo gani wa kisukuma?
Usisahau kunitag sasa baby sis🥳 yaani dada hamjui mdogo ake wakimuiba je ntawaambia nini watu😀Inakuja soon dear sis,![]()
Haha mimi si Afande hilo ni tshirt la kawaida tu nilinunua dukaniJambo Afande!


Aisee, unataka kunifanya nini we dada, ulivyo mzuri mahari mbuzi mbili tu! ?Ni mbuzi wawili tu mkuu😀😀
Ooh haya ila wasije wakakumind wakikukuta umevaa mkuuHaha mimi si Afande hilo ni tshirt la kawaida tu nilinunua dukani![]()
Naona mawazo yashafika mbaaaali![]()


umejuajee? Yaan angepiga casual codes, mbna unyamaa mwingii.Yaani binadamu, unataka upewe nini mkuu😀, umepunguziwa mahari unadoubt ningekuambia mahari kubwa pia ungekimbia, wewe toa mbuzi 2 tu usijali😀Aisee, unataka kunifanya nini we dada, ulivyo mzuri mahari mbuzi mbili tu! ?
Usisahau kunitag sasa baby sisyaani dada hamjui mdogo ake wakimuiba je ntawaambia nini watu
![]()


naibwajee sasa sis, na JF hakuna wa kuniiba.Yeah huwa Nashinda nalo tu homeOoh haya ila wasije wakakumind wakikukuta umevaa mkuu


Nikuone kesho😉..My babe
Nilizivaa mara moja tu kufuliwa zikasahaulika nje wakapita nazo,though ni kiwango kimtindoJamani jamani hizo simple ni za taifa kila mtu anazo😀😀
Hapanaa relaaaax!! Huu uko safe.