Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Ewaaa, sasa hz ndio zenyewe😂
Ewaaa, sasa hz ndio zenyewe😂
🤣🤣Maisha yanatofautiana mdogo anguKuna watu wanachat toka saa 12 asubuhi.Shughulibza maendeleo wanafanya saa ngap 🤔🤔🤔
Hahahahaha,hajui JF kuna madon humu ,hawachat kizembe🤣🤣Maisha yanatofautiana mdogo angu
Wengine hapa miamala inasoma tu sio mpk waende kazini
Wengine kazi zinawaruhusu tu
We unaona alichoandika kuwa ameshika bomba ni sawa?Ndo wabongo mnachokiwazaa, kazii ipoo
Tatizo nn hapo? Bomba hulijui??We unaona alichoandika kuwa ameshika bomba ni sawa?
Wanazinguaa😅🔨Mbona mnapost watu Hawana vichwa,..daaaah mambo gani hizo😂😂
Ndio nataka wanipe connection hiz nami muamala uwe unasoma nimekaa tu kwenye sim/pc.🤣🤣Maisha yanatofautiana mdogo angu
Wengine hapa miamala inasoma tu sio mpk waende kazini
Wengine kazi zinawaruhusu tu
😳🤔🤭 MakubwaaNdio nataka wanipe connection hiz nami muamala uwe unasoma nimekaa tu kwenye sim/pc.
NB. Mimi sio mdogo wako, hatujanyonya ziwa moja
Mtt mzuriiii😍🔥
Si ndo hapo sasa unanipoteza hivi hivi. Mi liliona mdada nikajua ni wewe. Na nikamwita kabisa. Ile anafika tu. Nikaona kumbe mbibi. Mengine utajua tuKwann ung'okee? Sa utaishi vipi?![]()
Duh! Mbu humu wote tayari. Asante kwa insectiside lakini. Japo kupumua ni kwa shida
Duh! Mbu humu wote tayari. Asante kwa insectiside lakini. Japo kupumua ni kwa shida






