Mi sijawahi braza. Nimwambieje sasa? Ukimuona huyo,na wewe utaogopa. Mi alikuja nikajifanya nafunga kamba za viatu ili apite tu. Na ndo nilikuwa namsubili pale leliniChukua mrembo keshakuelewa acha kupoteza bahati kama mzee Pdidy anaandikiwa namba badala ajiongeze yeye anaenda kumtafutia barmaid kazi ya ukonda wa basi la mkoani.