Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,774
- 256,796
🥰🥰 AsanteeShe's beautiful just like her sweetma!😘
Lips 👌!
🥰🥰 AsanteeShe's beautiful just like her sweetma!😘
Lips 👌!
🔥🔥🔥🥰🥰
Hahahaha,chunguza vzrKuna watu wanachat toka saa 12 asubuhi.Shughulibza maendeleo wanafanya saa ngap 🤔🤔🤔
HahahahahaSometimes nahisi inawezekaba kweli watumiaji wengi wa jf ji matajiri. Ambao wana mifumo ya kuwaingiza mapesa wakiwa zao wamekaa chitchat. Ni ajabu mtu saa 12 asubuhi yupo anachat humu mpaka jioni, saa sita usiku unamkuta uzi wa jf usiku wa manane. Wanajishughulisha saa ngap???
-Msinipopoe jamani, nahitaji mnipe mbinu nami napenda kushinda tu ninachat. Ila majukumu hayaniruhusu😭😭
Chukua mrembo keshakuelewa acha kupoteza bahati kama mzee Pdidy anaandikiwa namba badala ajiongeze yeye anaenda kumtafutia barmaid kazi ya ukonda wa basi la mkoani.Akhaaa daraja la hamsini mi siko huko. Mbona unauliza nini! Umenipenda? Sidanganyikiii.
Mtani wa Taifa anatembeza umeme na upendo
We ni yupi hapo?View attachment 2822085ukinicheka kiatu unakula block 😠
Umeshika au umeshikoshwa Bomba kwenye Mwendokasi?😀😃😄😁😆😅😂. Hiyo lugha uliyoiandika kuwa "umeshika bomba" sio nzuri kwa mwanaume mkuu. Ungesema umepanda tu mwendokasi.Nimevaa suti ya Giorgio Armani ya grey na shati jeupe nimeshika bomba kwenye mwendokasi
Niko pembeni yako hapa nasubiri uweke simu mfukoni nikuibie rafiki.Nimevaa suti ya Giorgio Armani ya grey na shati jeupe nimeshika bomba kwenye mwendokasi
Aah tafsiri yako imeenda mbaliiUmeshika au umeshikoshwa Bomba kwenye Mwendokasi?😀😃😄😁😆😅😂. Hiyo lugha uliyoiandika kuwa "umeshika bomba" sio nzuri kwa mwanaume mkuu. Ungesema umepanda tu mwendokasi.
One man down hapa.😂😅😆😁😄😃😀
Aah tafsiri yako imeenda mbalii
Kwann ung'okee? Sa utaishi vipi?Coca zero?! Yaani jamani,mi moyo wangu kalibia wote unang'oka



Ndo wabongo mnachokiwazaa, kazii ipooUmeshika au umeshikoshwa Bomba kwenye Mwendokasi?. Hiyo lugha uliyoiandika kuwa "umeshika bomba" sio nzuri kwa mwanaume mkuu. Ungesema umepanda tu mwendokasi.
One man down hapa.![]()
We elewa km alivyoandika mwenyeweUmeshika au umeshikoshwa Bomba kwenye Mwendokasi?😀😃😄😁😆😅😂. Hiyo lugha uliyoiandika kuwa "umeshika bomba" sio nzuri kwa mwanaume mkuu. Ungesema umepanda tu mwendokasi.
One man down hapa.😂😅😆😁😄😃😀