Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,555
🤣🤣🤣Noma snHahahaha, usikute kweli anataka connection 😂😂
🤣🤣🤣Noma snHahahaha, usikute kweli anataka connection 😂😂
Please kapicha basiPole Jamani mambo ya Iphone magumu njoo chukue Infinix hii iko moto 😂😂😂
Umetisha sana
Hahahahaha, muelewe🤣🤣🤣Noma sn
Eendelea kutuwekea playlist
Kwahiyo mimi ni mzungu kwenye mahaba ee🤣🤣🤣👊👊👊👊Hongera rafiki,wewe ni mzungu kabisa kwenye suala la mahaba.
Dollar huku kwetu tandale tunamaanisha Tsh's so hapo hamna gape ila suala la connection hapo unaninafkia,hivi unaweza kukaba mtu wewe? Niko hapa uchochoroni kuvizia wapita njia hivyo kama uko safi na nguvu karibu tujumuike.
Picha zilizonipita wote mko warembo ila hamumzidi nyonga mkalia ini wangu🤣
Tisha sana...endelea Dj@Chakorii
Dah....🙌
Safi,huko PM kwema lakini?
😂Mfano hao wadada aliowapost mshana Jr ni baraa,..tatizo hawana vichwa🤣Wanazinguaa😅🔨
Wafanya kutupia na picha ili tuuone uzuri wao wasiwe wachoyo🤣🤣😂Mfano hao wadada aliowapost mshana Jr ni baraa,..tatizo hawana vichwa🤣
Tupia na kapicha basi🤏😎Napita tu
Eewaaa, kwa sie wazee wa bandari, hizi meli za mizigo ndio zenyewe