Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,540
- 95,123
๐๐๐ ss hivi utaanza kunituma udongoKakaako aache uzembe Huu mwak sitaki uishe Huu ๐๐
๐๐๐ ss hivi utaanza kunituma udongoKakaako aache uzembe Huu mwak sitaki uishe Huu ๐๐
Njoo hapa kwenye viti virefu ๐Ntakuchapa ๐๐๐
Nakuja piem
Wapi hiyo jirani?Njoo hapa kwenye viti virefu ๐
Ila kuacha gambe kazi
Kwenye viti virefu huku VeyulaWapi hiyo jirani?
kuchat ni shughuli ya maendeleo tunasoshalaiziKuna watu wanachat toka saa 12 asubuhi.Shughulibza maendeleo wanafanya saa ngap ๐ค๐ค๐ค
Nahisi wengi humu wanafanya kazi vitengo wanashinda wapo kwenye pc with unlimited internet. Ila mm mbeba zege siwezkuchat ni shughuli ya maendeleo tunasoshalaizi
Kwa mara ya kwanza nimeona comment. Siku zote we ni wa ku like tuuu. Hizi siku kama mbili tatu, ndo umekuja na ka mtindo ka kicheko๐๐คฃ๐ umefikiria nini weweee aiseee
Achana nalo. Halioni kidore kimefungwa hapo? Sema anapenda tu miguu. Sijui kakufananisha na kuku! raraa reree ,hamna supu hapo broSouvenez-vous amezoea kuona likes zako zaidi. Unaweza kuta post zako huwa anaziruka....๐
Make cheke ๐๐๐Kuna watu wanachat toka saa 12 asubuhi.Shughulibza maendeleo wanafanya saa ngap ๐ค๐ค๐ค
Bado upo?Mi pia nilikumiss Coca.[emoji4][emoji2956]
Tupia moja basi!![emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wanachat toka saa 12 asubuhi.Shughulibza maendeleo wanafanya saa ngap [emoji848][emoji848][emoji848]
Jamani....๐๐๐Achana nalo. Halioni kidore kimefungwa hapo? Sema anapenda tu miguu. Sijui kakufananisha na kuku! raraa reree ,hamna supu hapo bro
Yes! Fanya chap ๐Bado upo?
She's beautiful just like her sweetma!๐
Nimefurahi kukuona tena huku Dr!๐Yes! Fanya chap ๐
We jichanganye. Bora mimi