Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Screenshot_20231122-224748_Gallery.jpg
ukinicheka kiatu unakula block 😠
 
We jichanganye. Bora mimi

Mbagala na Kisemvule,kuna butchery zimeandikwa Mbasha Meat supply. Ukipita wanasemaga eti wanauza miguu minne ya mbuzi, wanaongeza eti Yaani peya sasa toka lini miguu minne ikaitwa peya. Mi nimemaliza kama hujaelewa utajua mwenyewe
Tokea Mbasha Meat Supply ifunguliwe I guess.😏😁

Embu nieleweshe vizuri..🤓
 
Make cheke 😁😁😁
Sometimes nahisi inawezekaba kweli watumiaji wengi wa jf ji matajiri. Ambao wana mifumo ya kuwaingiza mapesa wakiwa zao wamekaa chitchat. Ni ajabu mtu saa 12 asubuhi yupo anachat humu mpaka jioni, saa sita usiku unamkuta uzi wa jf usiku wa manane. Wanajishughulisha saa ngap???
-Msinipopoe jamani, nahitaji mnipe mbinu nami napenda kushinda tu ninachat. Ila majukumu hayaniruhusu😭😭
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom