Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

💧
 

Attachments

  • IMG_0662.jpg
    IMG_0662.jpg
    37.4 KB · Views: 9
Jana ulikuwa moto sana 5G. Lkn nikagundua napambana na Anonymous persons.
Zinawekwa sura hatari hutuki kama hu boost na vumbi la Congo.
Halafu kukawa na mvua umeme ukakata. Yaani. PM wamebana. Sasa kwa shangazi utaishia kuona online tu.

Kuna avatar za kike humu balaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom