Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wee mchumba jamani ulikuwaga wapi?! Mi nimekumiso weyee!!!
Mwandiga wazima?! Mbona uko porini unafanya nini?!! 😂😂😂😂
Mshana Jr ankal yule jamaa huyu hapa!!
Taarifa zimechelewa kumfikia network ilikua ya shida
Amekuja na kofia kama ya Michael Jackson
Cuzo wetu ni hatari sana 🔥🔥🔥
Kigoma Moja hiyo,, handsome wa kigoma mwisho wa reli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom