Umeshawahi kupigwa na mpenzi wako?

Umeshawahi kupigwa na mpenzi wako?

Mimi nikimpiga mpenzi wangu najisikia raha sana hata kama nilikuwa na hasira kutoka sehem yoyote zinaisha tena nikimpiga mpaka

"akasema utaniua mpenzi wangu"

Hapo kiroho changu safi(nawachukia sana mademu)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hahaaaaa utakuwa unatoka mkoa wa SASA UNAINGIA.........
 
Si jambo geni kwa baadhi ya watu kukutana na jambo hili la kupigwa na mpenzi hasa kwa hawa dada zetu.

Je, ulichukua hatua gani?

Baada ya hapo ulimsamehe na mkaendelea na mahusiano?

Na wewe mwanaume uliewahi kumpiga mpenzi wako ulijisikiaje?

Je, wewe mwanaume umeshawahi kupigwa na mpenzi wako? Ulijisikiaje?

Nawasilisha.
Nilimchapa kibao wakat nambikiri miaka minne iliyopita but now ananipenda balaa
 
Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ati ulimboka
 
Wanawake wenyewe huwa wanamiss kupigwa... Huwa inanikuta sana hiyo, na me sifanyi ajizi!
 
aah mjinga aliniletea mambo za kpimbi nilimpiga kofi moja akadondoka akanyoosha miguu akalala nkajua nimeua nkataka sepa sema kuna rafik yake alinikuta nimesmama nae aah badae nkamwinua ni mzma nikaanza muuliza maswal jibu nalijua sema na yeye hataki sema ukwel et akajidai kapandwa na hasira et "nipige sasa niue kabisa ' nikamwambia kufa hufi ila chamoto utakiona nilimla makofi huyo had akaniomba nichume fimbo nimchape kuliko nmpige uson anaogopa kuharibika reception et

hahahahahahahahahaha........mkuu utakuja kuua siku aiseee
 
Pole sana
Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
 
Wanawake tunanyanaswa sana,nilipigwa eti kisa kwann namuuliza kuwa anacheat na wakati ni kweli kacheat
 
Mimi nikimpiga mpenzi wangu najisikia raha sana hata kama nilikuwa na hasira kutoka sehem yoyote zinaisha tena nikimpiga mpaka

"akasema utaniua mpenzi wangu"

Hapo kiroho changu safi(nawachukia sana mademu)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] yesuuu
 
Pole sana
Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
 
Unawachukia na bado unawatafuta kila siku mbwa wewe (oooh sorry imejiandka yenyewe)
1466273991218.jpg
 
Duh poleh, sijawahi kupigwa wala kupiga,na sitegemei kufanya hivo till I die,ukipata mapenzi cherish ur partner,, vurugu za nini
 
Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
Huwa mnaimba haki sawa tena 50% kwa 50%, vipi kwenye mkong'oto hukumgeia nae 50% ya kichapo ili muwe sawa?
 
Back
Top Bottom