Umeshawahi kupigwa na mpenzi wako?

Umeshawahi kupigwa na mpenzi wako?

Asee muda mwingine hawa mabinti wanakera mpaka basi
Nakumbuka kuna siku natokea job nimechoka balaa
Kufika tu getini nakuta ananisubiri kwa hamu basi kikaanza kichambo tena kisa kitu kidogo tu
Mie nikamwambia bebe tumuepushe shetani tukaongelee ndani
Hapo ndio nikawa nimeuwasha moto kwa kupewa kichambo madhubuti
Ikafika hatua akawa hadi ananikwida mie namuangalia tu
Alivyoona natabasamu na kumsikitikia akachukua na begi langu nililohifadhia mambo yangu ya kiofisi akalifungua na kumwaga vilivyomo ndani
Basi nikasema mama eeh usintanie nilimpa kelebu zito basi alikwenda chini na kuzima juu....Lkn badae alivyopata fahamu nikamtwanga na soda baridiiiii usiku akanipatiamo tunda km sie yeye..
Safi sana mkuu umeonesha uanaume, dawa yao ukishamaliza kumtia kerubu unamhamishia kweny uwanja wafundi seremala nakumgawia dozi...big up
 
Siwezi kuinua mkono wangu kumpiga mtoto
wa kike hata kama nitamkuta kakunjwa kitandani
 
Mimi nikimpiga mpenzi wangu najisikia raha sana hata kama nilikuwa na hasira kutoka sehem yoyote zinaisha tena nikimpiga mpaka

"akasema utaniua mpenzi wangu"

Hapo kiroho changu safi(nawachukia sana mademu)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kati ya nyimbo "Zilizopendwa" kuna mmoja unaosema "Nimefurahi kwa kuniuliza kwa nini leo nimekupiga sana..."
 
nilishawahi kulambwa kofi la nguvu nikiwa jangwani sea breezes nikishangaa bint aliyeumbika kisawasawa, akitokea beach na kuja kupata shower rain, nikasahau pale kuwa nipo na my wife, niliona nyota mchana mchana
 
la Princesa;
Pole dadangu. Dah! Hutasahau kweli siku hiyo. Sasa, tangu siku hiyo hakuna mwingine aliyewahi tena kukufundisha adabu??
Wadhani kumjibu mtu live hivyo kuwa umeamua kula hamsini zako ulifanya vyema? Next tyme jifanye hata ulikuwa na paper flan uliyokuwa unaikariri au ka ni leo mwambiye kuna kitu umekula kinakusumbua tumboni hivyo kikiisha tu utamtafuta haraka. Halaf ubadili sm na makazi
Wewe, alikuwa muhuni sijapata ona,naogopa kuweka details vizuri asije nitambua buree, kuna kipindi alikuwa na demu wake kamsevu jina la kiume, mwingine kaseviwa chizi, mwingine mwarabu, alivyojua ka jamaa ni muhuni, akahack account ya fb akapost maneno matamu na picha yao ya pamoja, watu walinitag siku hiyo sitasahau, mtu kama huyo namng'ang'ania wa nini kaka yangu? Am better than that..... Thank you though
 
Siamini katika kupiga....kupigana nadhani ni mambo ya zama za kale....
 
Hahahahaha
ulikuwa tu unampenda! unamwambia umemsamehe ila action zako [emoji1] visevesa, akipiga simu hupikei kwa wakati, usiku unamwambia unazimasimu saa 2, asipokuoigia usijiguse/akipiga unaitika hello darling) kila akituma sms unaijibu kwa please call me, akikuambia usiku mwema unajibu sawa mwaya[emoji85] , akikutukana unajifanya hujachukia unacheka hata ukimfumania, ukichagi simu unaizima kabisa, akikuita faragha usikatae hujigusi afanye yake aondoke(no hags no what) akikutoa out usiseme asante, hata apendeze vipi usimsifie , chengaaa kama analogy atakuacha mwenyewe mchana wa saa saba kamili
,jamaa baada ya kunipa kichapo alichange hatari, akawa good man, nikikohoa tu yupo, afu akaanza kukaba, alikuwa anashinda kwangu, anapita sokoni anafanya shopping hang'oki, akaniomba msamaha na akanitajia wanawake wote aliokuwa nao,ukiniinclude na mimi tulikuwa tumepangwa saba, akaniomba awaache polepole niweke wivu pembeni,nikamjibu sawa, aliwaacha mpaka tukabaki miye na mwarabu, ila ile nimemaliza chuo tuu, nikachange namba, block him everywhere, kaja kupata namba yangu wakati ambao am about to get married, nilimtoaje ndukii?
 
Hahahahaha

,jamaa baada ya kunipa kichapo alichange hatari, akawa good man, nikikohoa tu yupo, afu akaanza kukaba, alikuwa anashinda kwangu, anapita sokoni anafanya shopping hang'oki, akaniomba msamaha na akanitajia wanawake wote aliokuwa nao,ukiniinclude na mimi tulikuwa tumepangwa saba, akaniomba awaache polepole niweke wivu pembeni,nikamjibu sawa, aliwaacha mpaka tukabaki miye na mwarabu, ila ile nimemaliza chuo tuu, nikachange namba, block him everywhere, kaja kupata namba yangu wakati ambao am about to get married, nilimtoaje ndukii?

mimi nikisema noo ni noo! kuna namna tu atajiongeza
 
Baada yakukupa kichapo mlikuwa bado mnajamiiana au iliisha? Yaani kuanzia huwo muda mpaka ulipokuja kumaliza Chuo na kusepa?
Good thing ni kwamba tulikuwa 3rd year wakati huo, i couldn't escape him, semester 2
Niliziona kama miaka 6 japo after the incident nce he tried to change a lot
 
Mimi nikimpiga mpenzi wangu najisikia raha sana hata kama nilikuwa na hasira kutoka sehem yoyote zinaisha tena nikimpiga mpaka

"akasema utaniua mpenzi wangu"

Hapo kiroho changu safi(nawachukia sana mademu)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama na wao wanavyokuchukia
 
Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
Pole mama, mahaba at work
 
Uyo kaka ni mbabe Mwaju....! Utasurrender tu, physical appearence yake tu hata wakaka wenzie wanaiogopa.. Uwiii, angeniua, afu nadhani na akili ilikuwa haijanikomaa kama sasa

kwa hiyo alikuwa anakubaka? kama ni ubabe wa hivyo ulikuwa unampa akikohoa tu! unajifanya hata umeokoka umempokea bwana kupita kiasi zaidi ya wale Masalia waenda ulaya bila ticket! unamwambia hutaki dhambi tena asubiri muoane[emoji1] hakuna kukutana sehemu iliyojificha, n.k wewe vipi! tulishakutana na wababe, wachawi still tukatoka! tatizo ukitaka kumuacha hadi ujitapeew kimyakimyaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom