bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,998
ILA we unachekeshaga jaman, ukijumlisha Na hayo meno yako Yan hadi basmi kila siku ananipiga ila mabusu tu
ILA we unachekeshaga jaman, ukijumlisha Na hayo meno yako Yan hadi basmi kila siku ananipiga ila mabusu tu
ungemgeuzia na la pili mkuu...
Picha plzTeh wanaishia kunihurumia tu.... Nikipigwa na kamwili kenyewe haka nitakufwa
Duh, pole sana. Mwaka gami huo.?!Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
Huwa unafanyaje sasa kuidhibiti hasira yako ukishaudhiwa ili usipige?Hii mikono niliyopewa sio ya kazi hiyo ,japo hawa dada zetu kuna muda wamejaa na maudhi
Nasepa zangu ,ila kama siwezi kusepa kama ni usiku nitakaa zangu sitting room yeye yupo huko chumbaniHuwa unafanyaje sasa kuidhibiti hasira yako ukishaudhiwa ili usipige?
Dah haya mambo magumu sana, yan mshanuniana afu mwisho wa siku inabidi mkalale kitanda kimojaNasepa zangu ,ila kama siwezi kusepa kama ni usiku nitakaa zangu sitting room yeye yupo huko chumbani
Mwombe 0712 akikataa umepata chanzo chakipigo pia akikubali unamtwanga mingumi kamakawami huwa namtafutia kisa mpenzi wangu ili nimdunde lakn wapi, huwa sipati kila akijaa najikuta namhurumia.sijui nifanyeje,
Ndio maisha mkuuDah haya mambo magumu sana, yan mshanuniana afu mwisho wa siku inabidi mkalale kitanda kimoja
Unawachukia na bado unawatafuta kila siku mbwa wewe (oooh sorry imejiandka yenyewe)Mimi nikimpiga mpenzi wangu najisikia raha sana hata kama nilikuwa na hasira kutoka sehem yoyote zinaisha tena nikimpiga mpaka
"akasema utaniua mpenzi wangu"
Hapo kiroho changu safi(nawachukia sana mademu)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nataman nikuone ulivosema ""na ka mwili kangu haka"" nahc kamegawanyika ka nyigu eeh !!! ValentinaTeh wanaishia kunihurumia tu.... Nikipigwa na kamwili kenyewe haka nitakufwa
huwa nafanya hivi mkuu...ila kuna siku nilitaka kumzaba kofi sijui nguvu gani ilinizuia nashukuru Mungu halikufika usoni...nahisi ningeua kabisa!!Nasepa zangu ,ila kama siwezi kusepa kama ni usiku nitakaa zangu sitting room yeye yupo huko chumbani
Ni kweli mkuu, lakin kwa gubu la hawa viumbe tunapata wakati mgumu sana tusiopenda kupiga hovyoNdio maisha mkuu
Polee una mda gan mpaka sasa ujaonanaeNiliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
Ni vyema tu kujitahidi kujizuia mkuu ,kuliko lawama ya kumpigahuwa nafanya hivi mkuu...ila kuna siku nilitaka kumzaba kofi sijui nguvu gani ilinizuia nashukuru Mungu halikufika usoni...nahisi ningeua kabisa!!
mimi ni mpiganaji niliyesomea kupigana, uwezo wangu kupigana na watu wasiosomea kupigana ni waje watu watatu na kuendelea wanichangie na wawe na silaha ndio nitapata challenge akija mmoja au wawili wataenda ICU. zamani hizo za ujinga, nilishawahi kumpiga mke wangu mara nyingi sana, tena nikiwa na akili timamu sijalewa wala nini. nilikuwa mkatili sana.Si jambo geni kwa baadhi ya watu kukutana na jambo hili la kupigwa na mpenzi hasa kwa hawa dada zetu...
je, ulichukua hatua gani?
baada ya hapo ulimsamehe na mkaendelea na mahusiano?
na ww mwanaume uliewahi kumpiga mpenzi wako ulijisikiaje?
je ww mwanaume umeshawahi kupigwa na mpnz wako? ulijisikiaje?
nawasilisha...
Ni kweli mkuu ila ndio maana tumeaswa tuishi nao kwa akiliNi kweli mkuu, lakin kwa gubu la hawa viumbe tunapata wakati mgumu sana tusiopenda kupiga hovyo