Sijawahi kumpiga mwanamke kwenye maisha yangu....akiniudhi kupita maelezo nina principle yangu namuomba likizo ya kujitafakari hapo ndio byebye tena....najijua sipendi stress kabisa kwenye maisha yangu,maisha yangu yana dhamani kubwa kwanini nisumbuliwe na mtu..tena mwanamke muongeaji kupita maelezo na mjuaji kila kitu ndio namkinai mapema kabisa..kwanini nimpige mtoto ambae kazaliwa na mtu mwingine najisepea zangu tu