Betason
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 352
- 585
Si jambo geni kwa baadhi ya watu kukutana na jambo hili la kupigwa na mpenzi hasa kwa hawa dada zetu.
Je, ulichukua hatua gani?
Baada ya hapo ulimsamehe na mkaendelea na mahusiano?
Na wewe mwanaume uliewahi kumpiga mpenzi wako ulijisikiaje?
Je, wewe mwanaume umeshawahi kupigwa na mpenzi wako? Ulijisikiaje?
Nawasilisha.