Umeshawahi kupigwa na mpenzi wako?

Umeshawahi kupigwa na mpenzi wako?

Kuna roommate wangu chuo toka tukiwa 1st year mpaka semister moja iishe anakuwa kashapitia maboyfriend kama wanne hv, alikuwa mzur sana kiukwel. Tukiwa 2nd year sem ya kwanza katkat akapata boyfriend alodumu nae had tunamalza chuo though alikuwa na baba friend mbunge, chanzo cha kudumu na huyo bf wake ilikuwa akisema tu waachane anapewa kipgo heavy yule kaka cjui alikuwa anavuta bang au vp, alikuwa anampgia rum had tunakimbia rum tunaogopa kpgo na sie mashemej, anamwambia umezoea kuacha eeh sasa mim huniach, kuna cku kamkimbiza na bisbis anataka mchoma. Sie tulifurah kuwa kampata yule bwana cz tulpumzka wagen wapya rum cz asvyonaaibu mabwana zake alikua analala nao rum mpaka mornie.
Imebidi tu nicheke... Bado wako wote?
 
Mimi nikimpiga mpenzi wangu najisikia raha sana hata kama nilikuwa na hasira kutoka sehem yoyote zinaisha tena nikimpiga mpaka

"akasema utaniua mpenzi wangu"

Hapo kiroho changu safi(nawachukia sana mademu)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We lazima utakuwa shetani mwenyekiti
 
Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
Unasimulia upumbavu wako!kilichokufanya ushindwe kumchukulia hatua ni nini ?we kweli mbururaa
 
Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
Kwahiyo baada ya kichapo aliendelea kukuchojoa bikini huku ukisubiri kumaliza!
DAH WEWE NI MTUMWA WA NGONO
 
Cdhan kama hata angetaka kumuoa kama bint angekubal, anapenda mambo maslah na jamaa hakuwa na kitu. Na ingetokea kamwoa angemsumbua tu.
Huo ubabe wa jamaa noma. Asa nani aliemuacha mwenzake?
 
mimi ni mpiganaji niliyesomea kupigana, uwezo wangu kupigana na watu wasiosomea kupigana ni waje watu watatu na kuendelea wanichangie na wawe na silaha ndio nitapata challenge akija mmoja au wawili wataenda ICU. zamani hizo za ujinga, nilishawahi kumpiga mke wangu mara nyingi sana, tena nikiwa na akili timamu sijalewa wala nini. nilikuwa mkatili sana.
ajabu yake, siku moja mke wangu alipokuwa kugungua nina mpenzi nje, na nimezaa naye hadi watoto, alinipa kipigo ajabu, na sikumrudishia hata kofi tu, nilikubali kupigwa vyovyote atakavyo kutokana na kosa nililolifanya, na yeye hakuwa ananipiga akifikiria ana nguvu kuliko mimi, alikuwa anapiga aondoe hasira. alinichapa aiseee...hahaha. kwa sasa tunapendana sana sana na tumeyasahau pamoja na kwamba mimi nilishampiga na yeye alishanipiga.
Nayeye ameshakuzalia nje,chunguza hao wanao.
 
Kuna kajiraha furani kumpiga mwanamke

Ila sio umuumize.

Me huwa napenda kale kakilio cha kulia huku anajifichaficha

Baada ya hapo nakuaga na kazi kubwa ya kumpembeleza na kesho kumtoa out
 
Back
Top Bottom