Sikuwai kufikiria kumpiga ktk maisha yang,na niliapa ivo,sijui that day ilikuaje mkuu,.
Heeeee!Mimi nikimpiga mpenzi wangu najisikia raha sana hata kama nilikuwa na hasira kutoka sehem yoyote zinaisha tena nikimpiga mpaka
"akasema utaniua mpenzi wangu"
Hapo kiroho changu safi(nawachukia sana mademu)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Asee mwanamke ambae sijampiga hata mara moja huyo simpendi.Kumpiga mpenzi wako inaimarisha bond ya mapenzi yenu.Ila usipige kama unaua nyoka au mara kwa mara kwa uonevu.Ukiona anawashwa kulia unampa makofi mawili matatu yakumfanya alie asafishe moyo wake..hata kama alikuwa ana mambo yake mengine ya kimaisha na machungu yake anapata pa kulilia yote na kuufanya moyo wake uwe mweupe na kifua chepesi...halaf akimaliza kulia unampa mahaba motomoto ya kitandani.Kesho yake anaamka mpya...!jamani jamani!! thats not okey, usipige bwana.
Asee mwanamke ambae sijampiga hata mara moja huyo simpendi.Kumpiga mpenzi wako inaimarisha bond ya mapenzi yenu.Ila usipige kama unaua nyoka au mara kwa mara kwa uonevu.Ukiona anawashwa kulia unampa makofi mawili matatu yakumfanya alie asafishe moyo wake..hata kama alikuwa ana mambo yake mengine ya kimaisha na machungu yake anapata pa kulilia yote na kuufanya moyo wake uwe mweupe na kifua chepesi...halaf akimaliza kulia unampa mahaba motomoto ya kitandani.Kesho yake anaamka mpya...!
Unapigwa halaf baadae unabembelezwa,unaletewa zawadi uliyokuwaga unaitaka siku zote,unatolewa out,na mkirudi unapigwa mtarimbo havi...hupendi hiyo?hapana kwakweli hiyo haikubaliki.
hahahaaa!! kisa nikikisema hata wewe waweza hata nitukana acha tu nisikiseme.
Akhuuu nikutumie ili ukacheke kamwili kangu
[emoji126] [emoji126]Aaah...jamani Vale. Usiseme hivyo banaa. Sina maana hiyo (in JK's voice)
Unapigwa halaf baadae unabembelezwa,unaletewa zawadi uliyokuwaga unaitaka siku zote,unatolewa out,na mkirudi unapigwa mtarimbo havi...hupendi hiyo?
Daaah...ha ha ha...hilo linaonyesha ni bonge la drama. Basi njoo PM mpendwa uninong'onezee huko huko ili kama kweli ikibidi hata kukutukana kidogo basi nikutukanie huko sio hapa sebuleni. Usichelewe kuja pm basi bi atoto
Ahahah unapenda burudani eehMpe mentor story bwana ili nae aimodify aje atuburudishe
[emoji126] [emoji126]
ndio wapi huko!?? nitumie nauli.
Pole sana dadaNiliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
Hilo jike shupaNilikuwa na mchumba wang tulipendana sana sana,lkn kuna jamaa alikua anachepuka nae nilimkanya mara kadhaa hakuelewa,na hapo tupo hatua ya mwisho kabisa ya ndoa, sasa baada ya kumsema sana akanijibu upuuzi,nikamwambia leo sitaki kukupiga,akajibu kunipiga au hutaki tupigane?,,mungu anisameh,nilimpiga iyo siku,nikampasua lips ya mdomo,nikavunja meno kama 3 iv, nikaondoka nikaenda sehemu kupumzika,ile narud jion police wakanibeba ,nilikaa sero siku 2 then mahakamn,nililipa fain kubwa sana,baada ya ile kesi kuisha nikaenda home nikahamisha kila kilicho changu,ile nyumba nikampa mtu akarudisha pesa ya miezi iliyobaki nikaenda kupanga kwingine,,nilibadili line zote,,alihangaika kunitafuta mpka akanipata.
Jibu nililompa nikamwambia kawaambie wazazi wako wakutafutie mume,make ndio walikushawishi unipeleke mahakaman na nikalipa na fain,sawa ninakosa la kukupiga lkn mambo ya police yametoka wapi?? Kingine akasema anirudishie pesa zote pamoja na fain kama kufidia,niligoma nikaachana nae,mpaka leo nasikia ni kuolewa na kuachika,, (hazai)