Kukabidhiwa maumivuKupigwa kivp yan cjaelewa..........,.
Mwanamme ni mfano wa Mungu. Hasira ya Mwanamme ikiwa juu ya Mwanamke kwasababu ya Uovu na huyo mwanamke akarevenge , basi ni lazima huyo mwanamke atapata laana.Nilikuwa na mchumba wang tulipendana sana sana,lkn kuna jamaa alikua anachepuka nae nilimkanya mara kadhaa hakuelewa,na hapo tupo hatua ya mwisho kabisa ya ndoa, sasa baada ya kumsema sana akanijibu upuuzi,nikamwambia leo sitaki kukupiga,akajibu kunipiga au hutaki tupigane?,,mungu anisameh,nilimpiga iyo siku,nikampasua lips ya mdomo,nikavunja meno kama 3 iv, nikaondoka nikaenda sehemu kupumzika,ile narud jion police wakanibeba ,nilikaa sero siku 2 then mahakamn,nililipa fain kubwa sana,baada ya ile kesi kuisha nikaenda home nikahamisha kila kilicho changu,ile nyumba nikampa mtu akarudisha pesa ya miezi iliyobaki nikaenda kupanga kwingine,,nilibadili line zote,,alihangaika kunitafuta mpka akanipata.
Jibu nililompa nikamwambia kawaambie wazazi wako wakutafutie mume,make ndio walikushawishi unipeleke mahakaman na nikalipa na fain,sawa ninakosa la kukupiga lkn mambo ya police yametoka wapi?? Kingine akasema anirudishie pesa zote pamoja na fain kama kufidia,niligoma nikaachana nae,mpaka leo nasikia ni kuolewa na kuachika,, (hazai)
Na sitoweza kukupigaTeh wanaishia kunihurumia tu.... Nikipigwa na kamwili kenyewe haka nitakufwa
Siku niliyogundua mume wangu Ana cheat alinipiga mpaka basi.. Hadi Leo Nina alama mkononi na begani
Akucheat then akupige... Pole maeSiku niliyogundua mume wangu Ana cheat alinipiga mpaka basi.. Hadi Leo Nina alama mkononi na begani
[emoji3]Na sitoweza kukupiga
Hahaa shikamoo wanaume. Kwa hiyo hapo ulipewa mkong'oto kisa nini? Umemfukunyua hadi ukajua anakucheat? Wengi wao hawakoseagi, na wakikosea jua kesi inarudi kwakoSiku niliyogundua mume wangu Ana cheat alinipiga mpaka basi.. Hadi Leo Nina alama mkononi na begani
Daaah umenikumbusha kiboyfriend changu kilinidunda kisa tu nilimwambia tuachane khaaaa, ila mi sikuumuka ila nilikula mabanzi mpaka nikawa naona nyota nyota na yeye alikua ananiambia ananiua afu akafungwe. Nilijikakamua nikamdaka korodani akaniacha nikatoka nduki mpaka leo sitaki hata kumsikiaNiliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
*facepalm*Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
Aisee pole sana.huyo jamaa atakua wa Tarime!Niliwahi kupigwa tena kichapo heavy sitasahau,mdomo uliumuka kama ulimboka na sakata la madaktari,Ilibidi nizuge home kuwa nilivamiwa na vibaka,kisa cha kupigwa ni kwa sababu nilikuwa nimemchoka jamaa,alikuwa muhuni sijapata ona,tulikuwa tumepangwa kama mia 8 hivi,nilipoacha kujibu sms zake na simu alinifata hostel kuniuliza tatizo nini,nikamwambia nimeamua kumove on,asee alinipiga jamani,akanambia nichague kumuacha aniue ajiue na yeye,au nimsamehe kwa yote maisha yaendelee,ilibidi niwe mpole,nikamwambia nimekusamehe ili tu asiendelee kunipiga,Tulivyomaliza chuo nilitokaje ndukii?Nilichange mpaka phone No.ili tu asinipate khaa....Wanawake tunanyanyaswa sana
kosa langu nikumgundua..Hahaa shikamoo wanaume. Kwa hiyo hapo ulipewa mkong'oto kisa nini? Umemfukunyua hadi ukajua anakucheat? Wengi wao hawakoseagi, na wakikosea jua kesi inarudi kwako
Hahaha daah baadhi ya wanaume jamani. Kwa hiyo ukaomba msamaha mwenyewe?kosa langu nikumgundua..
sikuomba msamaha..baadae aliniomba msamaha kwa kujuta sanaHahaha daah baadhi ya wanaume jamani. Kwa hiyo ukaomba msamaha mwenyewe?
thanks my..utawaweza hawa viumbeAkucheat then akupige... Pole mae
Hivi watu wa hivi wapo?Kuna roommate wangu chuo toka tukiwa 1st year mpaka semister moja iishe anakuwa kashapitia maboyfriend kama wanne hv, alikuwa mzur sana kiukwel. Tukiwa 2nd year sem ya kwanza katkat akapata boyfriend alodumu nae had tunamalza chuo though alikuwa na baba friend mbunge, chanzo cha kudumu na huyo bf wake ilikuwa akisema tu waachane anapewa kipgo heavy yule kaka cjui alikuwa anavuta bang au vp, alikuwa anampgia rum had tunakimbia rum tunaogopa kpgo na sie mashemej, anamwambia umezoea kuacha eeh sasa mim huniach, kuna cku kamkimbiza na bisbis anataka mchoma. Sie tulifurah kuwa kampata yule bwana cz tulpumzka wagen wapya rum cz asvyonaaibu mabwana zake alikua analala nao rum mpaka mornie.