Inashangaza mtani... Mwetekundana tiki!! Mkashinjia hamwe! LolMen should observe this, utampigaje mke wako bwana!
![]()
Hahaha me ningeondoka kimya kimya nikuache ushangae vizuri, tungeonana home. Tabia gani hiyo mbele ya mkeo looh, angalia kwa machale bana eehnilishawahi kulambwa kofi la nguvu nikiwa jangwani sea breezes nikishangaa bint aliyeumbika kisawasawa, akitokea beach na kuja kupata shower rain, nikasahau pale kuwa nipo na my wife, niliona nyota mchana mchana
Una busara sana broda,bravo for thatHii mikono niliyopewa sio ya kazi hiyo ,japo hawa dada zetu kuna muda wamejaa na maudhi
Ni kweli mkuu, lakin kwa gubu la hawa viumbe tunapata wakati mgumu sana tusiopenda kupiga hovyo
Kama umesimama unakaa chini, au chukua maji unywe, hasira inashukaHuwa unafanyaje sasa kuidhibiti hasira yako ukishaudhiwa ili usipige?
Asante dada yanguUna busara sana broda,bravo for that
wakati mwingine huwa tunajisahau kabisa, network inachomoka ghafla, tungefika nyumbani ningekuruka mita 100, kuwa nilikuwa natizama kingine au nafikiria kitu flaniHahaha me ningeondoka kimya kimya nikuache ushangae vizuri, tungeonana home. Tabia gani hiyo mbele ya mkeo looh, angalia kwa machale bana eeh
Fahari ya macho mbona ipo tu jamani, but sio hadi unasahau kama kuna mtu pembeni yako. Hahaa daah sipati picha hilo lijikofi alilokupawakati mwingine huwa tunajisahau kabisa, network inachomoka ghafla, tungefika nyumbani ningekuruka mita 100, kuwa nilikuwa natizama kingine au nafikiria kitu flani
huwa natizama sana kimachale, manake unaweza muona bint mkiwa kwenye gari unajifanya kama hujamuona utamsikia mwenyewe, umemuona yule dada alivyo mrembo najifanya kuuliza yuko wapi aah sijamuona kumbe nishamuona na nishatathmini uzuri wake, manake nikisema mie mwanzo basi timbwili litaibuka tuHahaha me ningeondoka kimya kimya nikuache ushangae vizuri, tungeonana home. Tabia gani hiyo mbele ya mkeo looh, angalia kwa machale bana eeh
huwa silisahau na nilikuwa mpole na waliokuwa jirani ilibidi wachekeFahari ya macho mbona ipo tu jamani, but sio hadi unasahau kama kuna mtu pembeni yako. Hahaa daah sipati picha hilo lijikofi alilokupa
Hahaha hiyo mbona ipo sana yeye mwenyewe ndo anakuonesha mdada mwingine. Ila Ole wako wewe ndo uanze kushangaa hadi ujisahauhuwa natizama sana kimachale, manake unaweza muona bint mkiwa kwenye gari unajifanya kama hujamuona utamsikia mwenyewe, umemuona yule dada alivyo mrembo najifanya kuuliza yuko wapi aah sijamuona kumbe nishamuona na nishatathmini uzuri wake, manake nikisema mie mwanzo basi timbwili litaibuka tu
Hahah hata me ningecheka kwa kweli. Ndo usirudiehuwa silisahau na nilikuwa mpole na waliokuwa jirani ilibidi wacheke
kati ya aliyekutia kofi na uliyemtia teke la katikati ya miguu?Nani zaidi?
Teh teh! Kangi mkashinjia kituhu[emoji12] [emoji12] [emoji125]Inashangaza mtani... Mwetekundana tiki!! Mkashinjia hamwe! Lol
Maybe ulizingua......nadhan alichungulia Simu yakohivi na uzee huu unaanzaje kunipiga kofi jamani!!!
Mmmmh....Kama na wao wanavyokuchukia
What if siku uliyompiga ndio alipata tatizo kwenye kizaziNilikuwa na mchumba wang tulipendana sana sana,lkn kuna jamaa alikua anachepuka nae nilimkanya mara kadhaa hakuelewa,na hapo tupo hatua ya mwisho kabisa ya ndoa, sasa baada ya kumsema sana akanijibu upuuzi,nikamwambia leo sitaki kukupiga,akajibu kunipiga au hutaki tupigane?,,mungu anisameh,nilimpiga iyo siku,nikampasua lips ya mdomo,nikavunja meno kama 3 iv, nikaondoka nikaenda sehemu kupumzika,ile narud jion police wakanibeba ,nilikaa sero siku 2 then mahakamn,nililipa fain kubwa sana,baada ya ile kesi kuisha nikaenda home nikahamisha kila kilicho changu,ile nyumba nikampa mtu akarudisha pesa ya miezi iliyobaki nikaenda kupanga kwingine,,nilibadili line zote,,alihangaika kunitafuta mpka akanipata.
Jibu nililompa nikamwambia kawaambie wazazi wako wakutafutie mume,make ndio walikushawishi unipeleke mahakaman na nikalipa na fain,sawa ninakosa la kukupiga lkn mambo ya police yametoka wapi?? Kingine akasema anirudishie pesa zote pamoja na fain kama kufidia,niligoma nikaachana nae,mpaka leo nasikia ni kuolewa na kuachika,, (hazai)
Maybe ulizingua......nadhan alichungulia Simu yako