umeshawahi kupigana?

dah!!!nakumbuka mara ya mwisho kupigana ilikuwa miaka 8 ilio pita nikwa high skul,kuna ----- tena dogo kidato cha pili sema kajaliwa jimwili kweli ni kiranja,saa asubui si kuna zile joging za lazima skul basi form five tuka goma tena wengi kwa vile mi ndo nilikuwa mwili mdogo afu uwanjani mademu kibao jamaa akaona wa kunioshea ndo mimi hahaha kumbe alikuwa hajui hapa ma shotokan yamelala.anakuja tu nilimpiga washgel...akaenda chali kurudi anakutana kibadanch,pigo latatu yakuzdach kijana chali nikamtia haibu pale pale
Hawa wanaojifanya akina makame nyamiguvu inabidi WAPIGWE TU.
Nalog off
 
Back
Top Bottom