umeshawahi kupigana?

nimemiss sana enzi ya shule ya msingi, ilikuwa darasani lazima ajulikane nani mbabe.. yaani nani anaeza kupiga kila mtu. Kwa hiyo kila break time lazima watu wapigane ili kila ajue anaweza kumpiga nani class. L.o.l. Sekondari nayo ilikuwa mzuka sana no ngumi ... full kusutana na kuchapwa viboko.
 
Nakumbuka nilikuwa mtaalamu sana wa kurusha mawe, hata wababe walikuwa wanaogopa kunichokoza kwa sababu hiyo
 
Kuna siku kuna kadada kaliibiwa chenji yake, mzembe si nikajifanya jeki cheni kwenda kumsevu mdada. Kulaleki! njemba iliniweka kipondo mpaka leo sikio la kushoto haliskii vizuri na pua samtaimu inatoka kamasi bila flu.

halaf na kale kadada hata ka namba ya simu hakakunipatia, nyambaaf! ndo maana naungana na The Boss , wanawake wana mapepo kweli bana
 
Kangekupaje namba yake wakati wewe ulichezea kichapo? Ungeweza kusaidia labda kangelikuonea huruma!!
 
Kamanda hiyo njemba hata invizibo angekula kichapo, njemba ina kifua kuliko gearbox ya scania, halaf inasemekana kuna ajali sita tofauti imehuzuria ambazo watu wote waamekufa imepona yeye tu.
 
Heheheh..
Yeahh nimewahi. Nadhani nlikua na miaka 8 then...na nlipigana na aliekuja kuwa best friend wangu throughout primary school.
Sikumbuki sababu ila nakumbuka tulikua tumetoka shule na nlikua nimevaa ovaroli ya kigauni akashika vile vimikanda akaninyanyua juu.
Inawezekana yeye ndie alieshinda...

Miaka kadhaa baadae sijui kama naweza nilipigana ila kuna kaka yangu sijui alifanya nini nikamkimbiza sana na kumpiga na mawe.
Alafu kaka yangu mwingine yeye hatujawahi kupigana ile kupigana japo kuchokozana kulikuwepo sana ila zamani nilimvuta kwenye ngazi akaanguka na kuvunjika jino. Sasa hivi ni kama ana mwanya vile.
mtu akikuzingua mdunde tu,hongera kwa ujasiri wako.Nalog off
 
nimemiss sana enzi ya shule ya msingi, ilikuwa darasani lazima ajulikane nani mbabe.. yaani nani anaeza kupiga kila mtu. Kwa hiyo kila break time lazima watu wapigane ili kila ajue anaweza kumpiga nani class. L.o.l. Sekondari nayo ilikuwa mzuka sana no ngumi ... full kusutana na kuchapwa viboko.
dah! hongera yako bibie.Nalog off
 
Sharing is caring! Mie sina shida na ww manake najua akikuhonga jeep cherokee mara moja moja nakuja kuiazima niendee shamba! Tena hakikisha anakua anakuwekea full tank eeh!

hivi wa hivi wapo eenh?!hakyanani umaskini mbaya,mi vocha tu inakuwa na mawazo kweli aisee!!
 
ngoja nipone huu mkono, nitawafunza, zile za kichina china................
bora uwafunze mapema kwa maana ni hali ya hatari mno sasa hivi raia hawachelewi kukusingizia ya kwamba operesheni kimbunga inakuhusu.Basi atakayetamka maneno haya unamkata kibao na kuuanzisha ugomvi.
Nalog off
 
Kamanda hiyo njemba hata invizibo angekula kichapo, njemba ina kifua kuliko gearbox ya scania, halaf inasemekana kuna ajali sita tofauti imehuzuria ambazo watu wote waamekufa imepona yeye tu.
hahahaha si kitoto.
Nalog off
 
Kuna siku kuna kadada kaliibiwa chenji yake, mzembe si nikajifanya jeki cheni kwenda kumsevu mdada. Kulaleki! njemba iliniweka kipondo mpaka leo sikio la kushoto haliskii vizuri na pua samtaimu inatoka kamasi bila flu.

halaf na kale kadada hata ka namba ya simu hakakunipatia, nyambaaf! ndo maana naungana na The Boss , wanawake wana mapepo kweli bana
hahahaha ulichezea kichapo kwa kwenda mbele.
Nalog off
 
Nakumbuka nilikuwa mtaalamu sana wa kurusha mawe, hata wababe walikuwa wanaogopa kunichokoza kwa sababu hiyo
kuna rafiki mmoja sehemu ambayo hakuna mawe hawezi kabisa kupigana ila kukiwa na mawe ujue lazima ashinde.
Nalog off
 
Back
Top Bottom