Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
- Thread starter
- #141
santeee safi sana ujue samtaimu hawa wazee wanazingua sana.Mimi toka niko shule napenda sana kupigana mpaka sasa juzi bado kidogo nimpige baba mkwe wangu
Nalog off
santeee safi sana ujue samtaimu hawa wazee wanazingua sana.Mimi toka niko shule napenda sana kupigana mpaka sasa juzi bado kidogo nimpige baba mkwe wangu
kwenye talaka ungemwandika jina lake,ndio angeshika adabu.Hahaaaa wanasubua bana eti anakuja kudai talaka ya mwanawe bado kidogo nimtoe meno
pole sana ila si unaweza kumpiga mtu mkwara?Mara ya mwisho kupigana ni mwaka 1992 nikiwa darasa la kwanza, nilipigana na kikaka fulani hivi kilinicapa makonde sitosahau toka hapo mie sipigani tena!