umeshawahi kupigana?

umeshawahi kupigana?

Nilikua mtemi wa mtaa,piga sana mitaa mengine,alafu nilikua nafuga Njiwa aisee nimepigana Ugomvi wa kugombea njiwa,mwisho ugomvi nikiwa darasa la tano
 
Leo mchana gesti moja pale manzese alikiuka makubaliano, nikamzaba viwili vitatu, mabousa wake wakaja kikanuka, ndio tuko polisi saivi Hapa urafiki, mi Nipo ok ila wao kila mmoja anachechemea
 
Vipi njiwa bado unao au umeshawauza wote,wagema ulimbo inabidi wapigwe tu.
Nalog off
 
Leo mchana gesti moja pale manzese alikiuka makubaliano, nikamzaba viwili vitatu, mabousa wake wakaja kikanuka, ndio tuko polisi saivi Hapa urafiki, mi Nipo ok ila wao kila mmoja anachechemea
kukinikisha raha sana hasa ukiwa unayaweza.
Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom