hnp
JF-Expert Member
- Dec 4, 2020
- 276
- 473
Ivi umeshamaliza chuo? Nataka nianze mchakato wa kukuchumbia maana kwa one ulizopata ukijumlisha na zangu,tutatoa matoto maT.O tu
Ivi umeshamaliza chuo? Nataka nianze mchakato wa kukuchumbia maana kwa one ulizopata ukijumlisha na zangu,tutatoa matoto maT.O tu
Hahahahah jaman bado napambana na msoto wee.Ivi umeshamaliza chuo? Nataka nianze mchakato wa kukuchumbia maana kwa one ulizopata ukijumlisha na zangu,tutatoa matoto maT.O tu
Kweli hapa nimempiga kibomu kanipaaa ndo namaliza kula chips hapa Morocco...
ila sio uongo sometimes kusoma michosho San, wapo hawajasoma na wametusua.Kweli hapa nimempiga kibomu kanipaaa ndo namaliza kula chips hapa Morocco...
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuu kabisa wewe.O-level, nikapelekwa vipaji PCB,
Kwa mara ya kwanza nilijuta kufaulu kwa shughuli niliyokutana nayo kule.
Matokeo nayo yalivyotoka....👺👺👹👹
Sitaki mazoea humu.
Anyway
Nasajili laini kwa alama za vidole,
Naunganisha Line za chuo,
Narudisha line zilizopotea,
Naweka liquid protector
Nabadilisha ringtones,
Nasafisha nyota,
Nasahaulisha madeni, kodi na ada.
Nasahaulisha njaa.
One, ifunda tech, one PCB, upper Second AD, MPAKama uzi unavyojielezea,
Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007View attachment 1794195
Ukute hata shule bado hajamaliza huyo kaiba simu ya mjomba wake hajalogout JfNa mie nimeshangaa, nikajua labda zaman ilikua hivyo.
Mkuu sema tuu hukuwahi😂😂😂,Level ya elimu inakwenda mpaka Ph.D, div one inaishia form six.
swali lako umeuliza kishubwada.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
nna first class chuo mi sio mwenzako.Mkuu sema tuu hukuwahi,
Bachelor of Arts with loans and Vikoba management.
ustake kunjua sana, ulivovijua inatosha.Bachelor of Arts with loans and Vikoba management.
Hayaga ndibukaSio kihivyo sana mkuu,mshua alifariki nikiwa kidato cha pili so tukabakia na Mama,kule usukumani familia ya kulelewa na mwanamke tu hua hazina heshima sana,yaani hua wanajua kua mwanamke hawezi kabisa kulea mwenyewe bila baba,hivyo basi matokea yalivyotoka alitaka kuwaamisha watu kua anajua kulea japo ni mwanamke na vijana wake wanafanya vizuri sana kwenye elimu
WE ITAKUWA HIYO YA 17Kama uzi unavyojielezea,
Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007View attachment 1794195
Safi sana donlucchese! Kama ukipata nafasi, naomba utuwekee na orodha ya wanafunzi bora ya kidato cha nne, mwaka 2007.Kama uzi unavyojielezea,
Personally nilibahatika olevo mitihani ya CSEE, 2007View attachment 1794195
Na wanyantuzu..masuala ya milion 600 hadu 1b kwao kugusa tu...ukiwaona hawajahi hata kuvaa tai ..🥵
JamiiForums ni sehemu ya kuoneshana umwamba 😂😂Nimegundua kwenye huu uzi wana jf wengi walipata one... hahahahaha