Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

O-level, nikapelekwa vipaji PCB,
Kwa mara ya kwanza nilijuta kufaulu kwa shughuli niliyokutana nayo kule.

Matokeo nayo yalivyotoka....👺👺👹👹
Sitaki mazoea humu.

Anyway
Nasajili laini kwa alama za vidole,
Naunganisha Line za chuo,
Narudisha line zilizopotea,
Naweka liquid protector
Nabadilisha ringtones,
Nasafisha nyota,
Nasahaulisha madeni, kodi na ada.
Nasahaulisha njaa.
Pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuu kabisa wewe.

Na usinizoweeeeeeeeee


My mbavu Pliz
 
O level nilipiga three iliyochoka A level nikanyoosha na one ,University nikapiga sawa sawa ,kwa Sasa nipo chuo fulani nawapika vijana kwenye project planning and management japo sina mradi hata wa kuku ila maisha ndio hivyo
 
Sio kihivyo sana mkuu,mshua alifariki nikiwa kidato cha pili so tukabakia na Mama,kule usukumani familia ya kulelewa na mwanamke tu hua hazina heshima sana,yaani hua wanajua kua mwanamke hawezi kabisa kulea mwenyewe bila baba,hivyo basi matokea yalivyotoka alitaka kuwaamisha watu kua anajua kulea japo ni mwanamke na vijana wake wanafanya vizuri sana kwenye elimu
Hayaga ndibuka

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom