Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Nilipiga I ya Point 18 Ordinary Level Yombo Tech
Nilipiga I ya Point 09 Advanced Level HGL huko Kantalamba
Nilipiga GPA ya 3.2 Lower Second UDSM
.
.
Nimepoteza miaka 9 shuleni nilivyorudi kitaa waliofeli O' Level wamefanikisha yafuatayo;
1. Wana Biashara zilizoshamiri;
2. Wamejijenga kiuchumi na kimaisha;
3. Wamejijenga Kijamii;
4. Wamejijenga Kisiasa;

Kwa UFUPI;
Nimeajiriwa na Classmate wa STD VII ambaye hajui mlango wa darasa la Sekondari wala Chuo.
.
.
Nimezunguka na bahasha za khaki mpaka zikiniona tu zinalowa jasho;
.
.
Kila nikiwasikiliza wabunge wa JMT roho inamani kuchomoka!!
Hakuna 1 ya 18
 
Ooooh hapo sawaaa,
Kuanzia mwaka huu pia 1 ya Saba unapata bila hata kupata A za hayo masomo mwanzoni ilikua Ili upate point 7 hizo core subject upate A zote ,Sasa hivi ht ukipata B n.k na mengine umefaulu unapata ya Saba
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom